Mkuu unaconclude vipi sasa, tunaendeshwaje kwenye mahusiano, kifikra(rational) au kihisia(emotionally)? Lol!Ndivyo ilivyo. Unaweza ukawa sahihi kabisa kifikra (rationally) lakini usiwe sahihi kihisia (emotionally). Mpenzi wako akikulaumu kwa kosa ambalo hujafanya ila kitendo ulichofanya (ambacho unajua kwa hakika si kosa) kimemuumiza basi jua yuko sahihi kihisia (emotionally correct) ila hayuko sahihi kifikra (rationally wrong).
Badala ya kulazimisha auone ukweli wa kifikra (rational) muache apoe. Kwa wakati huo kwake kilicho cha hakika (real) ni hicho cha kihisia (emotional). Ukiendelea kumbishia na kudai si kweli/hakika basi ujue unaharibu tu.
Tulia. Hisi. Fikiri.
Mnaharibu watoto wa Kiume. Hii ni kwao:
Kama uko sahihi rationaly usimruhusu mtu aliyeko emotionaly akupiku. Simamia unachoamini
at end the day atagundua amekosea. Kwa nini aliyeko rational autulize kisa mtu yuko emotionaly
halafu eti baadaye agundue makosa yake. No!
Usiruhusu akina emotionaly (especially Wabejin') wateke fikra sahihi lol!
Mkuu unaconclude vipi sasa, tunaendeshwaje kwenye mahusiano, kifikra(rational) au kihisia(emotionally)? Lol!
Mkuu kuna mstari mwembamba sana (fine, thin line) kati ya hivyo vitu viwili. Mimi hapa naongelea nyakati ambazo una uhakika beyond any reasonable doubt kuwa uko sahihi rationally ila mwenzako analalamika na kuumia kihisia kwa ulichotenda na kuona ni kosa ama umemuonea. Badala ya kubishana naye au kujitetea wewe tulia tu, tambua hali yake - ikibidi omba msamaha, mpe pole na ugulia pamoja naye kihisia. Akishapoa kabisa yeye mwenyewe anaweza baadaye kuja na kukuambia you know what, you were right - I am sorry.