Ukweli utabaki pale pale juu ya hawa watu

Thomas andrew

Senior Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
150
Reaction score
45
Sikatai kiba anajua mziki lakin hajathubutu n diamond anajua na amethubutu,Ubora wa Aly kiba ni ukongwe kwenye game bt diamond anajua nini anachokifanya ndomana kwa sasa anajulikana kimataifa. Mwisho aly kiba alistahil tuzo moja bhasi
 
Pole sana "sukari"imesahaulika kwa vile hamkuipigia kura

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom