Hii ni kwa wale walio ndani ya ndoa, sanasana wanaume. Kama uliwahi kumpa mimba binti kipindi uko shule, au hata kama ulilala na mfanyakazi wa ndani na kuzaa nae. Aisee mchukue mwanao.
Kwa dunia ya sasa bila DNA watoto wako halali ni wale wa nje, wa ndani ya ndoa ni kulea watoto wa wenzio kwa jina la kiapo cha ndoa. Fanya mpango kachukue wanao wa damu.
Ni asilimia 30 ya watu walio kwenye ndoa wanaolea watoto wao wa damu, katika hii asilimia wewe haumo. Asilimia iliyobaki ndio wale wanaolea watoto wa watu bila kujua.
Ukigombana na mkeo, ukimuuliza "Nani mwanaume humu ndani" anaguna na kusema kimoyomoyo "Ungekuwa mwanaume usingekuwa bwege wa kulea watoto wa watu", wengine wanabaki kukupa neno baya zaidi "Ungejua......." unadhani neno gani hapo huwa hawalitamki.
Chukua hatua