Waswahili wana msemo akiutaka mpe,yeye ndiye atakayejua.
Hakuna asiyejua Magufuri alifanya mambo makubwa sana ambayo hatukuwahi kuyashuhudia maishani mwetu
Tanzania ilipaa na kusifika kila mahali,alipofariki Samia aririthi kiti chake na kuendeleza yale ya Magufuri ndiyo maana kulikuwa na kamsemo ka Mama anamalizia miladi ya mtangulizi wake
Je, hii mitano anayoitaka ataendelea kumalizia miladi ya mtangulizi wake? Hapana naamini miradi mingi ilishakamilika kama bwawa la umeme na mingineyo, kilichobaki ni reli tu ambayo tunaamini mpaka leo Magufuri angekuwepo angekuwa alishamaliza
Sasa tunahitaji miradi ya kimkakati kutoka kwa samia kama ya mtangulizi wake siyo kujenga matundu ya vyoo na madarsa, hapana tuone yale makubwa aliyoyafanya Magufuli, maana si ameutaka mwenyewe urais