Xiao qui shui
JF-Expert Member
- Feb 26, 2022
- 6,451
- 11,321
Bila shaka we ni bongeUmetaja kudeka nimevuta picha ya mwanamke mnene akideka anavyokuwa π€¦ββοΈ
π€·ββοΈBila shaka we ni bonge
Utaniangalia na yale macho yako tu Mimi hoiHehehe sasa sisi wenye mabass itakuaje bebπ na sivaagi hereni lolπ€ͺ
Aww jamnπ₯° πUtaniangalia na yale macho yako tu Mimi hoi
Macho mdondokeoπAww jamnπ₯° π
Kama nimekula kungu eehπMacho mdondokeoπ
Sipati picha ndio Ile moment ,Hilo jicho litakavyolegea hatariKama nimekula kungu eehπ
Haya ni magamba ya nje tu. Femiminity ni tabia. Tabia kama upole, huruma, unyenyekevu, utii na ile karama ya kuwa mama "nurturing".Na huo ukikekike ni Pamoja na Kusuka, Kupaka Rangi Kucha, Kutoboa Masikio, Kuvaa Mkufu, Hereni, Kudeka na Kuwa Soft
Yes bro me ndo naona hiko ndo kitu kinachonivuta kwa mwanamkeHaya ni magamba ya nje tu. Femiminity ni tabia. Tabia kama upole, huruma, unyenyekevu, utii na ile karama ya kuwa mama "nurturing".
Linatokaga kama nakata rohoπSipati picha ndio Ile moment ,Hilo jicho litakavyolegea hatari
π Bas sawaLinatokaga kama nakata rohoπ
Umetaja kudeka nimevuta picha ya mwanamke mnene akideka anavyokuwa π€¦ββοΈ
Huyo anawaza hela tudipresheni ni kweli yasemwayo?
We ni ke au me?Mwanaume Anapomfuata Mwanamke Anahitaji Vitu Viwili, Kimojawapo ni Ukikekike wa Mwanamke (Feminity Traits)
Na huo ukikekike ni Pamoja na Kusuka, Kupaka Rangi Kucha, Kutoboa Masikio, Kuvaa Mkufu, Hereni, Kudeka na Kuwa Soft
Cha pili ni nini?dipresheni ni kweli yasemwayo?