pengine kuna ukweli but not always the case, pia lugha iliyotumika ni kali mno, anatukana/ anasema vibaya hadi innocent third party (mtoto).
Hivi kwanini wanaume wengi mnapenda kuwaona wanawake ndo waathirika wakubwa wa mambo ya ndoa au mahusiano? Pengine ni kweli lakini mimi naona sivyo. Wote ni waathirika iwe ni directly au indirectly, coz naamini we both wish for a health and blessed marriage. Unaweza ww mwanaume ukajiona uko safe bt your sister, or any other female relative is affected by such things so you will still be a victim indirectly au pengine wewe mwenyewe umezaliwa kwa style hiyo au baba ako kasingiziwa wewe ni mwanae.
Mnapokosoa wanawake you just use very abusive language, am not sure if your intention is to educate or to nag, and on top of that, huo mnaouita ujinga haufanywi na mtu mmoja lazima kuwe na two parts, men & women but after huo ujinga only women will be nagged to the fullest.
If you (men) really don't want such things from women au mnachukizwa sana na mna nia ya dhati ya kutokomeza hicho kitu basi nyie ndo main characters, women themselves cannot do that coz naamin wanawake wengi wanafanya hivyo kwa nia ya kuwafurahisha nyie, kumbe nyie hampendi au mnawaona mazuzu, but why are you entertaining them? If you see a woman is half naked (or is doing anything foolish) don't applause her instead tell her that is not correct in your own way (don't nag). Speaking from experience, hakuna kitu kina mnyima mwanamke confidence siku nzima kama avae kitu then mwanaume amwambie hajapendeza anaweza hata aisrudie hiyo nguo tena.
Single mothers tunaowaona mtaani sio kwamba wote walitokana na style tudhaniazo sisi, hivyo hatupaswi kuwajudge kwa maneno makali hivyo kwakua hakuna single mother bila single father. Ongezeko la single mothers tiulichukulie kama changamoto yetu sote, tujiulize tunatengeneza kizazi cha aina gani baadae, watoto waliokua bila malezi ya baba na mama watakua ni wengi mno, hakuna ubishi kua mtoto alie lelewa na wazazi wawili na alielelewa na mzazi mmoja hawaezi kufanana kimitazamo na life style ya ukubwani (japo sio lazima wa mzazi mmoja awe in disadvantageous group na wa wazazi wawili awe kinyume chake).
Ongezeko la single parents (mother or father) kwa sasa ni kubwa coz hata wazazi walio kwenye ndoa hawadumu so watoto either wakae na baba au mama, mchezo ni ule ule. Pia kama mmegundua watoto wengi sasa ivi hapa mjini wanalelewa na bibi na babu either wa upande wa kike or kiume. Kizazi cha miaka kadhaa baadae kitatawaliwa na watoto waliokosa sense of familyhood and hospitality. All men and women need to change for our future generation.