Ukweli usiopingika dhidi ya dada zetu

Humu ni shida mtoa Uzi yuko sahihi sana though sio wanawake wote....ila lugha ndo n Kali mnooo....
Pia wadada... mjitambue basi...mara nyingi mwanaume hanaga cha kupoteza so msijisahau...
Na kumbuka ukifanya chochote tofauti hali iliyo sahihi huko mbeleni lazima ikugharimu.
Hivyo basi tuishi maisha ya kumpendeza Mungu.
 
Namuheshimu mwanamke, Ni mama yangu, dada yangu na mama wa familia yangu ijayo. Na kwa kuwa siko katika nafasi yake sijui na sitaweza kujua nini kinamsibu katika maisha yake na pia sina sababu ya kumdhihaki wala kumdhalilisha kwani nami si mkamilifu mbele za Mungu na dunia hii. bila Mimi mwanaume asingepitia. Mungu atupe hekima na busara ya kutambua hili.
 

Huyo ni mbuzi mwenye mkia mbelee
 
Alaf huyo jamaa/mwandishi design kama M kenya hivi.

Ametema madini sanaa.
Daaaah, kweli mbongo wataalam wa hii kitu wanahesabika kama na wewe unakubali kuwa jamaa katema madini haswa.
Enzi zangu za utotoni nilikuwa naamini rais ndo anakuwa na akili nyingi na anajua mombo kuliko raia wote katika nchi yake; kwa vile nilikuwa najiona kidume darasani (la pili) nikawaambia dada zangu kuwa mimi nitasomea unyerere walicheka sana na sikujua walichekea nini japokuwa baadae waliniambia unyerere hausomewi na wala siyo cheo. Mimi nulijua ni cheo na hukipata mtu mjanja kuliko wote katika nchi husika.
 

well said
 
Jiwe hiloooooo Gizani.... Hahahah Ngoja Ni subscribe
 
La kizani. Atakayesema aaaaiiiiiii limempata.
 
wanaume wanakera yaani vile tu sitaki ban
wenyewe wamezaa kama nini
 
Lol
 
Kwan tatizo lipo kwa nani anaefatwa au anaefata let's start here

Anayeshawishi afuatwe with macho bandia, nywele bandia, ngozi bandia, kucha bandia, akili bandia, hata kei bandia ndiye mwenye tatizo.
 
Are u over 30? Naona message imekuingia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…