Ukweli usiopingika dhidi ya dada zetu

never trust women.......

Kuna mmoja uyo nilimkopesha just as a friend, but now najuta kwann nilimpatia iyo ela.......
 
Sina la nyongeza mtani......
 
Heee mbona umekuwa mkali kama rabid dog na kumtukana mwandishi?vipi na wewe ndio uko katika category hiyo nini?,ni ukweli usiopingika wanawake ni watu wa kujisahau.
 
Kumbuka Mkuu,enzi za mababu zetu hapakuwa na masimu makubwa na ma whatsup,istagram etc,etc.Sasa hivi dunia imejaa mavitu ya kishetani shetani kidigitali,tatizo ni kwamba dada zetu hawapendi kupitwa au kuringishiwa kitu,hivyo basi ni lazima mtu ajiuze tu kwa namna yoyote ili aweze kumiliki hayo maushetani,atajiuza kinamna fulani,mwingine atajiuza direct nk,nk.
 
Sasa kwanini umtukane badala ya kuongezea kile kilichopungua kwenye huu uzi? You reacted as a victim.
Huyo ni victim bhana,acha amwage uharo humu,ana haki ya kutukana sababu ameliwa imebaki manyoya,na kila kiungo chake kimeinamia south,kibaya zaidi sasa hivi anaambulia shikamooo kwa wingi kutoka kwa vijana.
 
"swinging their buttocks like peacocks" gademu iti!
 
Siwezi kuwatukana wanaume kwa sababu na mtoto Wa kiume na baba pia kaka,ila we kama mwanaume afu bado unamtukana mwanamke,je wanaume mmezaliwa na baba zenu tu.au mlinyonya maziwa ya baba zenu?na mama zenu wameolewa wote?hajawahi kuachika?au wamejieshimu mpaka pumzi yao ya mwisho.tuheshiminiane.
 
Msiponde sana wanawake, wanaume nasi tutazame tunavyoharibu hao wanawake
Hapana kabisa,sisi wanaume hatuharibu wanawake hata siku moja,isipokuwa wanaume wachache saaana,wengi wetu tuna huruma na tunagharamia mpaka hata wake na ndugu zetu hatuwagharamii kama wanawake wa nje,tatizo linakuja baadae baadhi ya wanawake wasio na hisani na wenye tamaa wanaendeleza kugawa pussy au tusema kuuza pussy na kusababisha sisi kuwapiga teke,baadaye wanakuja kuadhirika na kuanza kututafuta tena hali yakuwa sura zimeishaporomoka kama chapati ya maji.
 
Kanatia huruma aisee..
Saana Mkuu,yaani ukute umri au speed metre imesoma ile mbaya,halafu pakee hamna,nyumba ya kupanga na watoto wa baba tofauti wasiokuwa na matunzo kutoka kwa baba zao,wanaume woote wameingia mitini,na walioko mtaani kila mmoja anatafuta dogodogo tu,wanaume hawataki vijeba bhana,hapo sasa mwanamke ndio anazidi kukongoroka kwa mawazo na maisha magumu alionayo,kwa kweli wanatilisha huruma.
 
Wanauzia kina nani!??. Just curious!
 
Tukutane after 8 years, relax mummy!! Naona imekutachi eeh. Unapewa somo bado youths inakusumbua, see you 2024 utakapokuwa unahaha kusaka an adopted father for ur kids!
 
never trust women.......

Kuna mmoja uyo nilimkopesha just as a friend, but now najuta kwann nilimpatia iyo ela.......

Hiyo gear ndo huwa wanaingilia ya kukopeshwa. Hukujua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…