Ukweli usio pingika kuhusu wadada wa kileo

mkuu ni ukweli mtupu, this is all about biological changes and globalization effects.

Hakuna kiumbe asiyependa kwenda wakati, hata mbuzi pia angekuwa na uwezo, angefunika utupu wake usionekane bila ridhaa yake mwenyewe...

Globalisation without variables like women, is impossible.
 
sina nalo uhakika sana labda wengine wanisaidie kama kweli kila mwanaume anaye suka,kuvaa hereni & suruali za kubana n.k ni mashoga

hasa vibamba vimeenea sana
 
wat abt side B,wakaka wa kileo:-
1.wanasuka
2.wanavaa hereni
3.wanavaa suruali za kubana
4.wanapaka lip shine
5. wanapaka colorless kwenye kucha

ngoma droo
wanatinda nyusi pia mkaka anakua mrembo kushinda hata mdaa
 
wat abt side B,wakaka wa kileo:-
1.wanasuka
2.wanavaa hereni
3.wanavaa suruali za kubana
4.wanapaka lip shine
5. wanapaka colorless kwenye kucha

Unaona tayari ulishaanza kuongea kiingereza???Hahahahaaaaa
 
sioni baya hata moja, kama nina kipilipili niache kutupia wigi kisa? wacha tuongee ongee hicho kingereza tukizoee, unaweza pata zali la kukwea pipa na lugha ya watu hujui. mwisho kabisa mtuache tupumue, haramu kwako halali kwa mwenzio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…