Ukweli usio pingika kuhusu wadada wa kileo

kwamtoro

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2010
Posts
4,922
Reaction score
3,245
Utakubali au kukataa baada ya kusoma ukweli huu...

(1) Wengi wa wasichana weusi uliowafahamu miaka mitano iliyopita kwa sasa siyo weusi kama kipindi ulicho waona.

(2) 98% ya wadada wa kileo huweka nywele za bandia na kuziona ni bora kuliko nywele zao za hasili

(3) Wadada pia wanafikiri kuweka kucha za bandia, nyusi na vitu kama hivyo vinawafanya waonekane warembo. Ukweli ni uongo sana, kwani wengi wao wanaonekana wabaya zaidi.

(4) Wadada siku zote wanataka kuwa na wapenzi wa jinsia ya kiume warefu na wenye muonekano mzuri pasipo kujua uzuri wa mioyo yao au upeo wao upo vipi

(5) Wadada wa kileo wanapenda kuzungumza kingereza mara nyingi wakati vijana wakiwatongoza, mwishowe wanaishia na kingereza cha kuunga unga, Ha ha ha ha!!

(6) Kwa sababu ya kutojiamini, hampendi kuona urembo wa hasili kwenu.

# Rahisi
Kuwa mwenyewe, kuwa wa hasili, inalipa sababu weusi ni urembo. KUBALI au KATAA.

Nimetafsiri toka Nairaland.
 
namba moja si kweli sio wote
namba nne mi nina futi saba nikidate na wa futi nne mhhhhhh hapana
 
Ukisamaraizi hayo mambo yete hayo yanaturudisha kwenye kitu cha msingi sana. ''KUJUKUBALI''
Ukishajikubali ulivyo mtu mwingine atakukubali tu. Ukishajikataa na kutaka kuwa kama kila mtu... matokeoa yake kila unachofanya utaona hujawa kama flani, hujapendezea kama flani etc na unaishia kuwa dissapointed kila mara.

JIKUBALI ULIVYO, JIKUBALI ULIVYO.... WEWE NI BORA ZIDI UKIWA WEWE tena ukiwa unajikubali.... tutakukubali tu.
If we are intelligent enough, Our Weaknesses are the greatest source of STRENGTH. Tz
 
wat abt side B,wakaka wa kileo:-
1.wanasuka
2.wanavaa hereni
3.wanavaa suruali za kubana
4.wanapaka lip shine
5. wanapaka colorless kwenye kucha
 
wat abt side B,wakaka wa kileo:-
1.wanasuka
2.wanavaa hereni
3.wanavaa suruali za kubana
4.wanapaka lip shine
5. wanapaka colorless kwenye kucha

Hilo nalo nenoo.....
 
Reactions: lin
We pacha wangu kweli.....mimi mwenyewe vyote hivyo navisikia redioni tu....

ni kweli maana naona, hata hapo kwenye avartar shemeji kaamua kulala kwenye friji kabisa, hongera..
 
Bila ubishi... wanawake wameumbwa kuwa wasaidizi wa wanaume. Wanafanya kile ambacho wanaume wanapenda ikiwa ni pamoja na kujitengeneza hizo kucha na mashikolo mengine. Wewe mwenyewe mtoro hebu fikiria ni mara ngapi umetoa pesa ya vipodozi kwa mpenzio? Mngekuwa hampendi hizo bandia wanazoweka wanawake mngewafuta ambao ni natural lakini bila kificho mmekuwa mnawatolea mimacho wale wanaojikeep urembo wa bandia. Mmegundua ubandia una madhara yake mnaaanza kuwalaumu..... lipi jema? Na siku zinavyozidi kwenda ndivyo urembo wa kila aina unavyojitokeza wanajitahidi (sio wote) kuwafurahisha na ninyi ndio mnaochangia hali hiii.


 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…