Hahaaaa, mpigieni magoti, jahazi linazamaHapa G Sam nakuunga mkono mara elfu hilo la kumsamehe Zitto na kumrejesha cdm. Kwangu mimi Zitto ni mara mia ukimuweka Lowassa na Sumaye pamoja. Zitto ni mwana mpotevu ila sasa ameujua ukweli ni kumsamehe na kumpa nafasi ya kugombea urais kwani amejiandaa na ana damu ya upinzani. Kutenda kosa si kosa ...