Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti zako wamelala ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mke Bora kuliko wanao

Mpauko

R.I.P
Jan 19, 2019
2,323
3,353
Huu ndio ukweli wanaopaswa kuupokea.

Kumuamsha mdada wa kazi saa 11 alfajiri na kuwaacha binti zako wamelala ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mke Bora kuliko wanao.

Eti kumtumikisha dada wa kazi apige deki, apike, afue nguo, aoshe vyombo wakati wanao wanaangalia TV. Ni kumuandaa mdada wa kazi kuwa mwanamke anayewajibika kuliko wanao.

Kumuacha binti wa kazi aandae watoto kwenda shule, awaandalie uji mapema, awalishe, awasafishe wakati wanao wanacheza gemu kwenye simu au computer Ni kumuandaa binti wa kazi kuwa mama na mlezi bora kwa watoto kuliko wanao.

Na kwakuwa yote hayo unayafanya kwa masimango na manyanyaso unamfanya mdada wa kazi kuwa jasiri mwenye kuzikabiri changamoto za ndoa yake kuliko wanao.

Ukimaliza kwa kusema mwanao akiwa hajui hayo yote, ndoa ikiharibika mnazungukuka kutafuta maombi kwa wachungaji na mashekhe kumbe ninyi mmeharibu ndoa za watoto wenu.

Alamsik.
images%20(12).jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hamjui tu! Hata ukiolewa ulikua mvivu wa namna gani...ukiolewa tu lazima utajitune kvingine kbs...mie nilikua naamka saa3!dingi alikua ananiambia mwanangu hakuna tajiri anaamka mida hyo😅!(its true mayb)lakini nimejitune ndan ya muda mfupi sana wa kuolewa! Semeni mengine!😎
 
Mbona hao hao madada wa kazi wameolewa (baadhi)..lakini wameachika?? Na wamekuja kwetu tuwaajiri tenasie tuliokuwa tunaamka saa4(including me)tunadunda na ndoa zetu??
Ndoa sio kafurushi hako mnakokasema ka kufanya kazi jamni!ndoa ni zaidi ya uijuavyo!
Nakwambiaje hizo shule wanakuwa na mishahara wana waajili dada wakazi, na hao dada kazi wakiolewa na wao wana ajili dada kazi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hao hao madada wa kazi wameolewa (baadhi)..lakini wameachika?? Na wamekuja kwetu tuwaajiri tenasie tuliokuwa tunaamka saa4(including me)tunadunda na ndoa zetu??
Ndoa sio kafurushi hako mnakokasema ka kufanya kazi jamni!ndoa ni zaidi ya uijuavyo!
We jamaa ulikuwa unaamka saa4 ina maana Shule ukienda sa ngapi, au ulijifunza kuandika mtaani. Pumbafu, usirudie tena kuamka saa4.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alafu hamjui tu! Hata ukiolewa ulikua mvivu wa namna gani...ukiolewa tu lazima utajitune kvingine kbs...mie nilikua naamka saa3!dingi alikua ananiambia mwanangu hakuna tajiri anaamka mida hyo!(its true mayb)lakini nimejitune ndan ya muda mfupi sana wa kuolewa! Semeni mengine!
Kama sina sehemu yakunipeleka asubuhi asubuhi hunikuti nje saa 12 kufanya nini ! Kwetu ilikuwa kama watu wapo nyumbani saa 12 hukuti mtu nje saa 2, wale wapenda kula asubuhi asubuhi ndiyo huwahi kuamka kupika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
apo ujaongea mdada wa kazi kugawa TUNDA kimasihara kwa watoto wa mwenye nyumbaaa....na wote wanakuwa wanfurahia utamu wa dada wa kaziiiiiii.... Yaanii wadada wa kazi wanafanya mengiii sanaa..changamoto ni pale adi baba mwenye nyumba anapomega TUNDA na mama NGASTUKAAaaaa kufahamuuu 🙌
 
Alafu hamjui tu! Hata ukiolewa ulikua mvivu wa namna gani...ukiolewa tu lazima utajitune kvingine kbs...mie nilikua naamka saa3!dingi alikua ananiambia mwanangu hakuna tajiri anaamka mida hyo😅!(its true mayb)lakini nimejitune ndan ya muda mfupi sana wa kuolewa! Semeni mengine!😎
Nilikua nataka nitupe ndoano. Kumbe umeshameza ndoano hadi chambo.
 
Back
Top Bottom