VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
- Thread starter
- #41
Matokeo mapya yatatolewa.Sawa.Lakini,vipi kwa wale waliojimyonga/kujiua kwa matokeo haya? Vipi kwa wale walioanza kujisomea tena kwa ajili ya kurudia mitihani? Itakuwaje kwa uchaguzi wa wanafunzi wa kwenda kidato cha tano? Watawekwaje walioshika kumi bora na kumi dhaifu kishule na kiuanafunzi? Ndugu zangu watanzania,jambo hili si jepesi kama tunavyoweza kuliona.Ni gumu sana. Lazima pafanyike jambo!