Ukweli: Umaskini ni mbaya zaidi ya UKIMWI

Ukweli: Umaskini ni mbaya zaidi ya UKIMWI

Inategemeana na wewe umejiweka vipi,huwezi kufuga mirasta na kuvuta mibange halafu utake tukusikilize upuuzi wako
Usitutukane tafadhali bana....muhimu kusikikiza hoja ya mtu.....unaweza kuta anataka kuwapa taarifa kwamba hapo mnapofanyia kikao kuna bomu limetegwa ama kuna nyoka.....
 
Alafu kaka wanatabia nyingine siku hizi baada ya kikao kuisha utasikia "hivi mzee salehe mbona mwanao ajaowa" kumbuka hapo kazi sina
 
Afya njema ni utajiri, ila fedha ni mlinzi wa mawazo yako. Maskini uwezi yalinda mawazo yako hata kama n mazuri. Mwenye pesa anatumia pesa kulinda mawazo yake, mfano mzuri ni sitawapa misaada mpaka mkubali ushoga.
 
Kabisaa....
 
Wewe unasemeja Mungu kakupa ufahamu. Acha kumtegemea deception. Utapelekwa chaka.
Mimi ni kilaza sana,huwa nategemea sana mawazo na tafiti za wengine.

Kwa kifupi kama ni kupelekwa chaka basi nitakuwa tayari nipo chaka muda mrefu sana.
 
Usitutukane tafadhali bana....muhimu kusikikiza hoja ya mtu.....unaweza kuta anataka kuwapa taarifa kwamba hapo mnapofanyia kikao kuna bomu limetegwa ama kuna nyoka.....
Wacha hayo mabomu yatulipukie na hiyo mijoka ituume ila lakini hatukusikilizi kwa kuwa umejikatia tamaa
 
Afya ni utajiri namba moja, usilinganishe afya na kitu chochote duniani.

Ila ufukara ni laana, ni mkosi na ni zaidi ya ugonjwa. Tuombe Mungu kazi za mikono yetu ziwe na matunda. Mtu fukara hasikilizwi hata kidogo, hakubaliki na jamii yetu, achana na ufukara kabisa!!
 
Back
Top Bottom