Ukweli: Umaskini ni mbaya zaidi ya UKIMWI

Mp19

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2019
Posts
259
Reaction score
726
Mimi naamini kuwa umaskini ni janga baya zaidi ya UKIMWI.

Vijana tutafute fedha tuache masihara.

Ukiwa maskini hata kwenye kikao cha familia ukinyoosha kidole utoe hoja utaonekana unataka kutia fujo kwenye kikao.
 
Mimi naamini kuwa umaskini ni janga baya zaidi ya UKIMWI.
Vijana tutafute fedha tuache masihara. Ukiwa maskini hata kwenye kikao cha familia ukinyoosha kidole utoe hoja utaonekana unataka kutia fujo kwenye kikao.
Kila kitu kinachangamoto zake.
 
Basi ndugu zako ndo hawana akili. Mtu maskini mawazo yake yanahishia kula, kulala na kufanya mapenzi. Maskini hana imagination. Ndio maana huko ulimwenguni maskini hawezi kuaminiwa kuongoza hata kundi la mbuzi
Mbona mimi sina hela na ndugu wananisikiliza kuliko ndugu wengine wenye hela? Pesa sio kila kitu.
 
Basi ndugu zako ndo hawana akili. Mtu maskini mawazo yake yanahishia kula, kulala na kufanya mapenzi. Maskini hana imagination. Ndio maana huko ulimwenguni maskini hawezi kuaminiwa kuongoza hata kundi la mbuzi
Wanapesa halafu hawana akili? Mbona mnajichanganya?
 
"Kufa maskini ni ufala"
alisikika mzee wa upako akilaani.
 
Hawana pesa. Labda wana pesa kwa viwango vyako maana hata elfu 1000 ni pesa. Hakuna mwenye pesa anayemsikiliza maskini maana hawasikilizani kwasababu wako kwenye wavelength tofauti. Ukiona mwenye pesa Anamsikiliza maskini, basi huyo maskini ameisha kuwa fursa kwa mwenye pesa. Huo ndio ukweli take it or leave it
Wanapesa halafu hawana akili? Mbona mnajichanganya?
 
Hawana pesa. Labda wana pesa kwa viwango vyako maana hata elfu 1000 ni pesa. Hakuna mwenye pesa anayemsikiliza maskini maana hawasikilizani kwasababu wako kwenye wavelength tofauti. Ukiona mwenye pesa Anamsikiliza maskini, basi huyo maskini ameisha kuwa fursa kwa mwenye pesa. Huo ndio ukweli take it or leave it
Sawa.
 
Back
Top Bottom