Shedangio
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 448
- 170
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakatuh
Naomba bila kugusa dhehebu wala itikadi ya mtu
Mwenye upeo wa hili afafanue Kidogo.
1.Nini maana haswa ya maulid
2.Ni lini yalianza haya maulidi
3.Ni nani mwazilishi wa haya maulidi.
4.Je mtume,maswahaba,Taabi'i au hawa maimamu wanne kuna mmoja wapo alishaawahi kusherehekea kama ifanywavyo sasa.
Naomba tuchangie kwa upole,uvumilivu na kuhurumiana itikadi zetu na madhehebu yetu.
karibuni kwa mchango.