Ukweli toka moyoni

mjinishure

Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
86
Reaction score
56
Nina umri wa miaka 25 nimemaliza masomo yangu ya elimu ya juu mwaka jana ktk chuo cha jomo kinya nchini kenya.nimewahi kuwa na mahusiano na wasichana wa lika langu wasio pungua watatu lakini mwisho wote nimewaona hawana subira wala bahatimbaya.sasa nimeamua kuweka wazi kwa wana jf wote natafuta mwanamke mwenye miaka 30-45 awe mnene japo si lazima awe amesha tendwa na kujua maana ya kupenda na asiwe na njaa ya vibomu kwani chuo nimemaliza mwaka jana kwaaliye tayali nitampa email yangu
 
jamani naomba nieleweke nipo siliazi na hili kwani natafuta barafu wa moyowangu
 
uanacho shangaa ninini kwani mimi ndie wakwanza kupenda alie zidi umri hapa duniani:A S-heart-2:
 
huko jomo kinya hukufanikiwa pata balafu ya moyo wako!? Usimdhailishe kenyata na wakenya kwa ujumla hata aliyesoma elimu ya secondari ya kikwete hawezi kuwaza na kufikiria kama wewe. Tafakari! Siliazi!
 
hata mie nimechekaje nliposoma.Embu imagine unamkuta anatongoza???Upo? mtoto mzuri hapa long time toka kijiji cha babukadja
 
Mkuu ni kwamba Kiswahili kinakupiga chenga, au hii ni ID yako nyingine umeamua kubadili mfumo andishi kuwahadaa wanabodi??Kwa namna tu uandikavyo, hakika hakuna mwanamke mwenye akili timamu anayeweza kuvutiwa nawe...niamini mimi!
 
Halafu mbaya zaidi........hana hela....
 
love is blind but still I can see.... The boy is trying to show love in his own way any jimama to give him a chance please????
 
jamani namuhita,nampenda na nitamlinda hebu ajitokeze muone
:yo:
 
siku zote pesa ni karatasi na hasara ni roho kujua nikutumiae ndie au sie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…