Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,199
- 162,749
Tazama star tv kuanzia saa moja usiku huu upate ukweli/taarifa kamili kuhusu sakata la Escrow account.
CHANZO:Star tv
CHANZO:Star tv
Tazama star tv kuanzia saa moja usiku huu upate ukweli/taarifa kamili kuhusu sakata la Escrow account.
CHANZO:Star tv
BIG UP Star TV...LEO TUFAHAMU UKWELI NI UPIWadu wa jukwaa la siasa nikiwa sebureni kwangu hapa nimesoma tangazo star TV likisema kutakuwa na kipindi maalum ambapo ukweli wote utawekwa wazi kuhusu IPTL na ESCROW akaunti. Leo saa moja kamili, usiku huu kwenye televisheni ya Star TV. Hujachelewa kujua ukweli.
Watu wengine bwana ukweli siku zote utabaki ukweli hata kama mkitumia mahakama kuficha ukweli watanzania tutaweka kumbukumbu ya kuibiwa na wasiolitakia mema taifa hili
haya mkuu ngoja tusogelee tv zetu.Wadu wa jukwaa la siasa nikiwa sebureni kwangu hapa nimesoma tangazo star TV likisema kutakuwa na kipindi maalum ambapo ukweli wote utawekwa wazi kuhusu IPTL na ESCROW akaunti. Leo saa moja kamili, usiku huu kwenye televisheni ya Star TV. Hujachelewa kujua ukweli.
kumbe kwahiyo hakukua na haja ya kuziweka BOT?Kumbe wangeweza kuweka hizo fedha hata CRDB, au benki nyingine yoyote!!
kumbe kwahiyo hakukua na haja ya kuziweka BOT?
Twende tuone ukweli sasa, tuache kusikiliza wachumia tumbo.