Ukweli ni upi kuhusu Oscar Kambona?

Kumbe
Hayati Kambona alikuwa mtu sahihi kwa wakati husika ingawa hakutafsiriwa vizuri na Washirika wa kipindi hiko.
 
Kambona ilipaswa aandike kitabu chake tumsome kwa upana zaidi
 
Asingethubutu. Ni sawa na kumwambia Makonda leo aandike kitabu.
Kambona alifia nje ya nchi, angeweza kuandika.
Pia unaweza kuandika kitabu ukamuachia publisher na ukaweka kwenye wosia kwamba kichapishwe na kusambazwa pindi tu utakapofariki.
 
Kambona alifia nje ya nchi, angeweza kuandika.
Pia unaweza kuandika kitabu ukamuachia publisher na ukaweka kwenye wosia kwamba kichapishwe na kusambazwa pindi tu utakapofariki.
Sijasema kuna mtu aliyemzuia kuandika kitabu, madhambi yake ndio yalimzuia akihofia kuanikwa.

Ndiyo maana nikasema ni sawa na kumwambia makonda aandike kitabu.
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…