passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,798
- 13,034
Unahangaika kutibu sikio la kufa!Ukweli ni kwamba CCM/Samia hayamtaki Heche awe kwenye nafasi yake kwa sababu ya misimamo yake ya kutokutaka maridhiano feki.
Ukweli ni kwamba CCM au regime hii ovu hawatafanikiwa kwa sababu baada ya kufanya yale mauaji na kufanya uhuni kama utekaji,ulawiti,ufisadi Regime hii imelaaniwa kwa hiyo hizi jitihada zote ovu hazitafanikiwa bali ni kuharakisha kusambaratika kwa hii Regime.
Lakini bado nafasi ipo kwa huu utawala wa kuomba msamaha kwa watanzania na kukiri kutokurudia matukio haya ya kihuni.
Naunga mkono hojaUkweli ni kwamba CCM/Samia hayamtaki Heche awe kwenye nafasi yake kwa sababu ya misimamo yake ya kutokutaka maridhiano feki.
Ukweli ni kwamba CCM au regime hii ovu hawatafanikiwa kwa sababu baada ya kufanya yale mauaji na kufanya uhuni kama utekaji,ulawiti,ufisadi Regime hii imelaaniwa kwa hiyo hizi jitihada zote ovu hazitafanikiwa bali ni kuharakisha kusambaratika kwa hii Regime.
Lakini bado nafasi ipo kwa huu utawala wa kuomba msamaha kwa watanzania na kukiri kutokurudia matukio haya ya kihuni.
Msamaha?Lakini bado nafasi ipo kwa huu utawala wa kuomba msamaha kwa watanzania na kukiri kutokurudia matukio haya ya kihuni.
Ndiyo wanafosi sasa kuwe na maridhiano fekiUnahangaika kutibu sikio la kufa!
Hakuna binadamu wa kawaida anayeweza kutaka maridhiano na wakati huo huo akaendelea kufanya maovu dhidi ya wale anaotaka kuridhiana nao. Those mazafakas must be seriously sick in the head!
Hautarejesha ila labda inaweza kupunguza maumivu hata vitabu vya dini vinasema tusameheane.Msamaha?
So msamaha utarejesha uhai?
Kvp itapunguza maumivu?Hautarejesha ila labda inaweza kupunguza maumivu hata vitabu vya dini vinasema tusameheane.
Basi mshahara wa dhambi ni mautiHawawezi kukiri abadani
Nikisema they are fools, nitakuwa nadogosha degree ya upumbavu wao!Ndiyo wanafosi sasa kuwe na maridhiano feki
porojo πUkweli ni kwamba CCM/Samia hayamtaki Heche awe kwenye nafasi yake kwa sababu ya misimamo yake ya kutokutaka maridhiano feki.
Ukweli ni kwamba CCM au regime hii ovu hawatafanikiwa kwa sababu baada ya kufanya yale mauaji na kufanya uhuni kama utekaji,ulawiti,ufisadi Regime hii imelaaniwa kwa hiyo hizi jitihada zote ovu hazitafanikiwa bali ni kuharakisha kusambaratika kwa hii Regime.
Lakini bado nafasi ipo kwa huu utawala wa kuomba msamaha kwa watanzania na kukiri kutokurudia matukio haya ya kihuni.
Hamtafanikiwa mmelaaniwa.porojo π
Just relax plz gentleman πHamtafanikiwa mmelaaniwa.
How can I relax while I'm living in a country where leaders are evil?Just relax plz gentleman π
just ignore and avoid nonsense narratives like that plz, plz gentleman πHow can I relax while I'm living in a country where leaders are evil?
This is the truth I know you hate truth because you are proud of evil (CCM).just ignore and avoid nonsense narratives like that plz, plz gentleman π