Ukweli ni upi jinsi ya kuijua nyota yako?

Hata wewe hukuitwa kuleta mada yako hapa kama hutaki watu wachangie ungebaki nayo Yamkini umeona kuna sababu ya kuileta basi waachie watu uhuru wao wa kuchangia na kama wazo hujalipenda you just leave it. Mbona simple tu ndugu yangu!
Sasa wewe umechangia au umekashfu?
 
Habari WanaJamiiForums?
Moja kwa moja twende kwenye mada bila kupoteza muda.
Ipo hivi, kuna wataalam na wajuvi wa masuala ya nyota wanasema unaweza kujua nyota yako kwa kutumia njia takribani tatu ambazo ni;

1.TAREHE NA MWEZI WAKO WA KUZALIWA.

2.JINA LAKO NA MAMA YAKO HALAFU UNAGAWANYA KWA 12.

3.HERUFI YAKO YA KWANZA YA JINA LAKO.

Kwa maelezo yao Wataalam na Wajuvi wa masuala haya wanasema njia hizo zilizotajwa hapo juu ndio hitumika haswa kwa mtu kuijua nyota yake.

Lakini cha kushangaza kila njia moja kati ya hizo tatu ukitumia inakupa jibu la tofauti sijajua ukweli ni upi?

Mfano:
a)Mimi nikitumia njia ya kwanza ambayo ni tarehe na mwezi niliozaliwa napata jibu ni nyota ya SIMBA.

b)Nikitumia njia ya pili ambayo nikijumlisha jina langu na mama yangu jibu ni nyota ya NGE.

c)Nikitumia njia ya tatu ambayo ni herufi ya mwanzo ya jina langu jibu linakuja nyota ya PUNDA.

Naomba kujua ukweli kwa yeyote mwenye Utaalamu na Ujuzi wa mambo ya Nyota anifafanulie vizuri ni ipi haswa njia nzuri ya kufuata ili kujua nyota yangu?
Na pia kama kuna sehemu nimekosea naomba kurekebishwa tafadhali. Ahsanteni
Naomba kuwasilisha.
Tumia njia hii hapa (1.TAREHE NA MWEZI WAKO WA KUZALIWA.) Ndio njia sahihi kwako. Zizlizo bakia achana nazo.
 
Duh, hii ni superstition, maisha yako yataongozwaje na nyota ambazo ziko umbali wa mabilioni ya kilometa???
 
Habari mkuu nina elimu pana sana ya hizi nyota ndio umeona kuna mkuu hapo kaamua kunitag ipo hivi hapo kwenye hizo nyota ni moja tu ndio umekosea kuijumlisha na hii ukitembea nayo hivyo basi utakuwa umejifungamanisha na kufifiza nyota yako hapo kwenye herufi ya jina na tarehe ya kuzaliwa upo sawa ;lakini kwenye jina lako na la mama hesabu zako hazipo sawa hapo inatakiwa kubaki 9 na sio nane yaani hapo wewe ni Mshale na sio Ng'e na ukijifananisha na ng'e kidogo tu walau kwa siku 7 basi teyari utakuwa umeshakumbwa na nuksi au mikosi.
Rejea hesabu zako vema au toa majina nikusaidie hapo lazima ibaki 9 sio 8
na kila nyota hapo zina sehemu yake ya kutizamiwa wewe kifupi hapo ni kundu la kwanza huwa Mwili, la pili Roho, la tatu ni Akili
kwa maelezo zaidi ya nyota pitia thread yangu hii

Rakims
 
Asante mkuuu,
Nilikuwa nakusubiri kwa hamu sana nina imani unayajua na una elimu haswa ya masuala haya.
Naomba leo unimalizie kiu yangu ya kutaka kufahamu zaidi.
Hapo kwenye maelezo yako umeniambia nimepatia kwenye herufi ya mwanzo yaani A= PUNDA na tarehe au siku yaani 08/08 =SIMBA
Then umesema kuwa nimejumlisha vibaya ndio maana nimepata namba 8 ambayo ni NGE, ukasema kuwa nijumlishe vizuri jibu litakuja 9 ambayo ni MSHALE.

SWALI;
Inakuwaje nipate nyota za aina tatu tofauti yaani SIMBA, NGE na PUNDA?
Je, nyota yangu halisi ya kuifuata ni ipi hapo? Au nifuate zote? Na inawezekanaje kufuata nyota zote tatu kwa wakati mmoja?

Kama ulivyonishauri majina yangu ni ALLY jina la mama yangu ni HULKA nimezaliwa 08/08

Naomba mwongozo wako nijue nyota yangu ni ipi hapo? SIMBA, NGE au PUNDA? Na niifuate ipi?

Habari tena mkuu kama nilivyokwambia kuwa umekosea kujumlisha jina hapo ndivyo hali halisi ilivyo tizama wewe ni mtanzania tukileta vema thamani ya jina lako mara nyingi kiarabu linaandikwa اللي حلك ungekuwa mwarabu tungesema علي
lakini kwa kuwa ulipewa jina na watu waliokuwa katika range za kiafrica kwa kutoa kwa wazungu wakakuita Ally sasa kwa thamani ya herufi hizi ا = 1 ل=30 ل=30 ي=10 kwa hiyo kwa jina lako tunakuwa tayari tumepata thamani ya idadi yako ni 71 tukirejea kwa mama tunasema ح ni 8 ل ni 30, na ك ni 20 hapo tutapata 58 ambayo tukijumlisha mama na wewe tunapata 129
sasa tukianza kuivunja thamani hizo tupate nyota moja kwako kati ya 12 tunakuta kuwa kwa 72 itabaki 57 na hiyo ukivunja na 12 itaingia 48 ambapo itaiua kwa 9 sasa umejua kuwa nyota ya Jina lako ipo hapo kwenye 9?

Tarehe ya kuzaliwa upo kwenye simba
jina lako upo kwa punda
na jina la mama upo kwa Mshale

Kiujumla kwa fahamu za elimu ya watu wenye elimu kubwa tunasema wewe katika nyota za asili nne au maada nne nyota yako wewe ni moto
karti ya nyota nne
ambazo ni
Maji
Upepo
Udongo
Moto

Umeelewa?
fuata asili tu ya nyota zako maana teyari unaasili tatu kuu za nyota ambayo ni kigeugeu, nyuso mbili na Thabiti.
na watu kama wewe wakienda kwa wataalamu wasio na maarifa ni kuvurugwa tu nyota

Hizo herufi za kiarabu sio rahisi kuzijuwa hapa kwani mpaka ufundishwe hizo herufi bora waangalie tarehe na mwezi wa kuzaliwa ni rahisi sana kuliko hizo herufi za hesabu ya kiarabu.
 
Nashangaa hao wanaosema ww nyota yako ya simba kwa nn asiseme ww nyota yako ya Kunguni,,,,,
Inamaana hao walijitungia tu au???
Huja shangaa kuona Meli pamoja na ukubwa wake haizami baharini lakini Shilingi ya Nyerere inazama baharini? Wewe fuatilia hiyo Thread upate kuelimika na elimu acha kushangaa kwako huko. ukitaka kushangaa kashangae Baharini utaona vitu vingi vya kushangaza ndani ya bahari. Soma upate kuelimika. Sio kuguna guna pasipo na kuwa na elimu.
 
Nina miezi kama 2 nimeanza kufatilia hizi mambo..some times naona kuna vitu vinakaa kwenye mstari na mambo yananyooka,,

lkn some times najihisi kama kuna mambo yatanilazimu kutoacha katika maisha yangu yote ili mambo yaende.Dah,,,,!!!
 
Hizo herufi za kiarabu sio rahisi kuzijuwa hapa kwani mpaka ufundishwe hizo herufi bora waangalie tarehe na mwezi wa kuzaliwa ni rahisi sana kuliko hizo herufi za hesabu ya kiarabu.
ni kweli mkuu. hizi huwa tunatumia specific ili kuweza kujua nyota thabiti ya mtu ukishapata huko.
Karibu na machafuko yangezidi kama watu wote wangejua hii elimu. Maana watoto wa watu wengi wangekufa na ukimwi
 
Nimekuelewa vizuri sana mkuu,
Hakika wewe ni kisima cha elimu hii mkuu Allah akuzidishie inshallah!

Ila bado nna swali la ziada kama ifuatavyo;

1.Sasa ikatokea mtu kaniuliza mimi ni nyota gani nimjibu vipi? Nimwambie mimi ni MOTO au?

2.Nijuavyo kila nyota ina siku yake ya bahati,mafusho,kito,madini, kazi, rangi, namba n.k
Sasa kwa mimi ambae nyota yangu ya asili ni MOTO inakuaje kwenye kufuata hivyo vitu?
Swali nzuri mkuu, hapo cha kufanya jijue kabisa kuwa unautawala wa nyota yenye tabia moja katika nyuso tatu hivyo ukisoma nyota zote hizo na kuzifuatilia vema basi utafanikiwa kirahisi sana ila uelewe jambo muhimu ni kuwa kila moja ina nafasi yake hapo,
Ipo iliyochomoza wakati unazaliwa ambayo ni punda
ipo iliyochomoza katika msimu wa kuzaliwa ambayo ni Simba
na ipo ambayo ilichomozewa na mwezi ambayo ni Mshale

Sasa ili uweze kufanikisha mambo yako katika matabaka hayo matatu elewa kuwa moja inatawala mwili wako nyingine roho yako na nyingine akili yako hivyo ukitaka kufanikisha lolote fuata zaidi kulingana na sehemu iliyopo

Mfumo wako upo hivi:

AKILI = PUNDA
MWILI= SIMBA
ROHO= MSHALE

Hivyo basi mfano unataka kuoa au kupata mafanikio ya ndoa jua kabisa kindowa utatakiwa ujione ni MSHALE au ukitaka kusafisha nyota yako kiroho basi utatakiwa kutumia MSHALE ambayo ni utasafishwa nyota yako kwa maombi yaliyobase kwenye utawala wa dini tu. huwezi kufanikisha jambo la kiroho ikiwa utaenda kinyume na hivyo tofauti na watu wenye nyota ya roho kama MBUZI hawa hawafanikishi jambo la kiroho kirahisi hadi watumie mambo ya kichawi kama waganga wa kienyeji na mizimu sasa wanaotawaliwa na MSHALE wao hufanikiwa kwa tiba ambazo zinategemea mwenyezi mungu zaidi kama vile kufanyiwa maombi ya Qur.an au Biblia au Majini. huyu akipewa dawa haitamsaidia lolote labda ya kunywa kwa ajili ya maradhi kwa sababu yeye hufanikisha kupitia maneno au kauli za kiroho.

Sasa ukitaka kufanikiwa kama kupata pesa n.k utatakiwa ufuate nyota ya SIMBA

Na kuendelea mkuu nadhani hadi hapo umepata picha.

Rakims
AKILI
 
Mkuu, katika hizo herufu umetumia lugha gani kati ya Ki-arab au ki-Urdu? Maana baadhi ya herufu naona kama umekosea kwenye hesabu zako.
Hizi hapa chini ni alpahabet na Kiarabu (maandishi mekundu)
Na Kiurdu (maanfishi meusi)
Wewe umetumia zipi kwenye hesabu mfano “KAF” nimehesabu hapo sehemu zote mbili haisimami kwenye 20.
Hebu nifafanulie zaidi.
mkuu ni thamani za kiarabu wapi unaona nimekosea? uliza nikueleweshe
 
Back
Top Bottom