mwananyaso
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 2,995
- 3,402
Alipinga, unajua baraza la mawaziri Linavyofanya kazi?,Wakati hiyo miradi ya wizi ikipitishwa lugha ilikuwa ni hiyo hiyo kuweka maslahi ya umma mbele. Hilo ndio lilichangia rais wa sasa kukaa Kimya. Leo tunashangaa anaposema huo mradi haukuwa na maslahi kwa umma wakati alikaa kimya! Je tutaamini vipi hii miradi ya ujenzi anayofanya sasa kwa mikopo ni ya maslahi ya umma na sio kusaka political millage?