Ukweli ni kwamba kuna Mauaji ya Kimbari ya Wakiristo yanaendelea Nigeria

Ukweli ni kwamba kuna Mauaji ya Kimbari ya Wakiristo yanaendelea Nigeria

joex

JF-Expert Member
Joined
Feb 18, 2011
Posts
2,216
Reaction score
1,799
Ni muda mrefu sasa maskini wawatu, wakiristo wa Nigeria wamekuwa wakichinjwa na Waislamu wenye Siasa Kali huko Nigeria katika maeneo ya kaskazini na kwa siku za karibuni Central Plateau States.

Kibaya zaidi Serikali ya Nigeria hasa baada ya kuingia madarakani the Islamist Muhammad Bhukhari mwaka 2015, serikali ikawa inapuuzia kabisa vision hivyo.

Ikumbukwe Kuwa Bhukhari kabla ya kuingia madarakani alikuwa na uhusiano wa karibu na maislamists wa Boko Haramu.

Hivi karibuni Senetor Teddy Cruz wa USA akalianzisha kulaani mauwaji ya kimbari Nigeria. Kwa hadhi yake katika Serikali ya Trump na pia katika viunga vya Kimataifa, mjadala huo ukapamba moto hata kwenye mitandao ya kijamii jamba ambalo lilipelekea miislamists ya Nigeria na kwengine Duniani kutoka kwenye mashimo yao na kuja kama ilivyo kawaida yao kufanya Taqqya ili kutetea Agenda yao ya Siri.

Miongoni mwa hao waliojitokeza ni viongozi mashuhuri wa Nigeria, Influences wao, viongozi maislamists na hata mouth piece yao kubwa AL JAZEERA.

Niwakumbushe tuu kuwa Maislamists wanatekeleza Agenda ya Muslim Brotherhood ambayo ni Muslim Qunquest by violence dominatation ion in the government and brain washing the masses especially university students.

Bila kujua kuwa Mungu wa Biblia hadhihakiwi, Serikali ya Nigeria ikimtumia puppet wao Renno Omokri ikiwaalika Mayor Mike Arnold wa Texas na Mwenzie Gibbs ( mpiga pictures maarufu wa pictures za cinema) waende Nigeria kwa ushuhuda kuwa hakuna Christian Genocide by Muslims.

Nakuwekea hapa youtube videos ambayo itakuonyesha

1. Mkutano uliofanyika kabla ya Timu kufanya utafiti wao. Utaona vile ambavyo Renno alitaka kumrubuni Arnold hata kabla hajafanya utafiti ili aendane na mtazamo wa Maislamists kuwa hakuna Genocide

2. Baada ya kufanya Utafiti Mayor Arnold akiwa bado nchini Nigeria wakati anawasilisha TAARIFA yake akawaambia UKWELI ulio mchungu: WITHOUT ANY SHADOW OF A DOUBT THERE'S CHRISTIAN GENOCIDE

Chakujifunza hapa watanzania ni kuwa Muslim Brotherhood Organization is real na wanatekeleza hiyo Agenda yao ya MUSLIM CONQUEST katika nchi nyingi tu kwa sura tofauti tofauti; msijifikiri mko salama.
 
 
Back
Top Bottom