Tanzania ILoveU
Member
- Apr 9, 2015
- 29
- 14
Miaka kama 2 au 3, niliwahi udhuria ibada moja kwa kanisani kwa mchungaji Gwajima ufufuo na Uzima na alisema maneno haya kwamba "CCM wasipokuwa makini wanaweza anguka na kusambaratika 2015, na anaiona CCM ikianguka kwahiyo watu wasafi waliomo ndani waanze fanya maamuzi sahihi na kuwa upande sahihi hasa aliwaambia akina Mwakyembe na wengine" na akasema anaiona Tanzania Mpya na ya kijani inayong'ara baada ya uchaguzi mkuu 2015,
Kiukweli sikutilia maanani nikaona kama ni vitu visivyowezekana na haviwezi kutokea na nikaona mchungaji hapo umeongea vitu havitakaa vitokeee.
Lakini leo hii naanza kuona nikitu kinawezekena kabisa kutokea CCM kuanguka.
Kingine ni huu wakati wakutangaza nia, nilivyoona Mchungaji Gwajima ameudhuria mkutano wachadema na kusema anaiona CHADEMA na Slaa kama Joshua watanzania, wanatuvusha kwenda hatua nyingine. Na baada ya wiki nikamuona katika mkutano wa CCM anasema namuona Lowassa ni Joshua watanzania anatuvusha watanzania kwenda hatua nyingine, Kiukweli nilishangaa sana na watu wengi walishangaa sana na kuanza kumponda na kumuona kama mchungaji amechanganyikiwa.
Lakini Leo hii naanza kuona alikuwa anamaanisha nini katika hili, Maana LOWASSA yupo CHADEMA, Slaa yupo CHADEMA na wote watakuwepokati mapambano ya kuivusha Tanzania katika Hatua Mpya inayofata, na wote ni majoshua watakao shirikiana kutufikisha ile nchi ya ahadi.
Ushauri
Tuwemakini sana Hasa maneno yanapotoka kwa watumishi wa Mungu, Tbjoshua anasemaga kama kweli mtu ni mtumishi kweli wa Mungu sikuzote anaweza akaongea neno leo msielewe lakini baada ya Miaka kadhaa likitokea mtaelewa, na Mungu yupo anafanya kazi na Siku zote hutumia watumishi wake aliowachague kufikisha Ujumbe wake.