Sometimes ni bora ibakie hivyo maana ukweli halisi ukitoka nje, ndoa familia na jamii zitavunjika na kuvurugika.Ukweli ni kwamba wanaume wote wanaamini kuwa watoto waliozaa na wake zao no wao lakini ukweli wanaujua wanawake
Wanaume tunaishi kwa imani ambayo inaweza kua kweli au uongo ila wanawake wote wanaishi kwenye ukweli kuhusu watoto
Kama nadaganya mwanaume mkaripie mwanao alafu mkeo akwambie niachie mwanangu Kwanza baba ake sio wew uone kama ndoa haijavunjika sijui
Lakini mwanamke na amkaripie mtoto umwambie niachie mwanangu kwanza mama ake sio kama hujapelekwa milembe. Shkamooni wanawake wooote
Kiukweli wanaume siku hizi hakunaUkweli ni kwamba wanaume wote wanaamini kuwa watoto waliozaa na wake zao no wao lakini ukweli wanaujua wanawake
Wanaume tunaishi kwa imani ambayo inaweza kua kweli au uongo ila wanawake wote wanaishi kwenye ukweli kuhusu watoto
Kama nadaganya mwanaume mkaripie mwanao alafu mkeo akwambie niachie mwanangu Kwanza baba ake sio wew uone kama ndoa haijavunjika sijui
Lakini mwanamke na amkaripie mtoto umwambie niachie mwanangu kwanza mama ake sio kama hujapelekwa milembe. Shkamooni wanawake wooote
Ukisema wanaume wa Leo ni vifurushi maana yake na Wewe ni kifurushi maana utataka kuolewa na kifurushi otherwise Uwe wa zamaniKiukweli wanaume siku hizi hakuna
Baba zetu walikuwa wanaume haswaa.
Yaani uzae na mtu usijue uhalisia wa mtoto kuwa huyu ni wako au laah?
Kwamba usimkaripie mwanao hata kakosa kisa unaogopa utaambiwa sio mwanao?
Wanaume wa kileo ni vifurushiiii.