Ukweli mchungu wazazi wako au ndugu zako wanaweza kuwa ndo wachawi wa maisha yako

CHUKUA NA HII..

Baada ya kubaini kuwa umezaliwa katika tabaka lenye umasikini

Unaamua kupambana na maisha kwa juhudi zote ili uweze kujitoa katika hilo tabaka then wakati una fight hakuna hata mtu mmoja anayetokea kuku support zaidi ya kukupa salamu tu ,, baada ya muda na hustling za muda mrefu unafanikiwa kufikia malengo yako ... Hapo sasa ndio huwa patamu ndugu wanaanza kutokea huko walipokuwa wamejificha na kuanza kukuomba misaada ..kila kukicha huyu anakuja na shida hii mara huyu naye anakuja na hii..........

Hapoo ndio utajua Maana ya undugu lawama 😂
Na bado akifa mtu kwenye familia unaonekana unawaua wenzio kishirikina kisa ulikuwa huna kitu Sasa umepata😔😔
 
Ndugu wana wivu, ukiwa unaprovide chochote nyumbani wanajifanya kufurahia moyoni wanajisemea anajifanya ana maisha

Watu pekee nimebakiwa nao wa kuwasaidia ni wazazi tu, watu wengine tusameheane tu
 
Ndugu wana wivu, ukiwa unaprovide chochote nyumbani wanajifanya kufurahia moyoni wanajisemea anajifanya ana maisha

Watu pekee nimebakiwa nao wa kuwasaidia ni wazazi tu, watu wengine tusameheane tu
well said, hili jambo linatesa familia nyingi sana mkuu
 
Mimi binafsi nimechagua kuishi yale maisha ya mabroo wa zamani, unatoka home una miaka 23 siku ukirudi una miaka 40 kama Mungu akikuweka hai. nimeamua kujichanganya na watu tofauti kabisa katika utafutaji, kuliko hawa ndugu lawama.
 
Mimi siamini kujitoa kwangu kote malipo yake ni lawama nazotupiwa

Mwanzo nilijua ukijitoa sana utaonekana wa maana nimeishia kuchelewa kimaendeleo

Huwa nakaa peke yangu najiuliza hivi wanaelewa nimeumia vipi kufanikisha jambo fulani?

Wakati mwingine hawajui hela ilitoka wapi lakini siri tunazijua wenyewe
Kuna mtu anasotea mkopo benki ili mdogo Wake aende shule, wao wanachojua ni hela tu imekuja halafu anatokea ndugu mmoja kazi yake kutupa lawama tu dah
mkuu tena ukiwa mtu wa kujitoa sana ndo lawama zitakuandama, mimi kwa sasa sidhani kama ntakuja kua na moyo huo tena maana siku za nyuma umenisababishia msongo
 
  • Thanks
Reactions: T11
Ndugu wana wivu, ukiwa unaprovide chochote nyumbani wanajifanya kufurahia moyoni wanajisemea anajifanya ana maisha

Watu pekee nimebakiwa nao wa kuwasaidia ni wazazi tu, watu wengine tusameheane tu
Wakati mwingine hao wazazi wanaweza kukuchoma kwa ndugu hasa wanapohisi huwasaidii kwa kiwango kikubwa ukilinganisha na ukweni, yaani wanahisi wife anafaudu sana. Unajikuta unapambana na lawama za wazazi na ndugu. Jitahidi sana kuchunguza mienendo ya wazazi hasa unapokuwa una kazi au mafanikio fulani na hasa unapokuwa umeanzisha familia.
 
Nakubali

Yaani familia za kiafrika sijui zikoje

Nimewahi kuona mzazi ndio anamroga mwanae
 
Mimi binafsi nimechagua kuishi yale maisha ya mabroo wa zamani, unatoka home una miaka 23 siku ukirudi una miaka 40 kama Mungu akikuweka hai. nimeamua kujichanganya na watu tofauti kabisa katika utafutaji, kuliko hawa ndugu lawama.
we walk on the same path!!
 
Japo sio wote lakini naomba kusema katika haya maisha wazazi wako au ndugu zako wanaweza kuwa ndo wachawi wakubwa wa maisha yako

Hebu fikiria unaishi kwa ndugu zako au upo kwa wazazi kwa muda mrefu wanakuonq ukiangaika kutafuta maisha na hakuna anayekupa support

Hebu fikiria umejaribu kuomba mtaji wa biashara ndogo ndogo lakini unapigwa Kiswahili ndugu zako au wazazi wako tena wengine wanakukatishq Tamaa eti Ohoo hio biashara hailipi

Hebu fikiria umetafuta kazi mpka umechoka alafu huoni wa kukusadia unabakia na maumivu moyoni

Alafu kesho au kesho Kutwa umeamua kujilipua kufanya kazi yeyote au biashara yeyote ile unaamua kutoka nyumbani kwenda kujitegemea alafu unasikia ndugu au wazazi wako wanalalamika unawaibisha sana uache hayo mambo haraka wana kitu wanataka kukusaidia ufanye ili usiwaibishe lakini ukichunguza in deep hawa ndo wachawi wenyewe
Uko sahihi na hali huwa mbaya kwa wale wanaoamini na kuendekeza Sana ndugu tena mahusiano ya mwelekeo wa upande mmoja yaani wao kugema kwako wao ahaa hilo unue iko siku watakucheka baada ya kutendwa kidogo kidogo
 
Mimi binafsi nimechagua kuishi yale maisha ya mabroo wa zamani, unatoka home una miaka 23 siku ukirudi una miaka 40 kama Mungu akikuweka hai. nimeamua kujichanganya na watu tofauti kabisa katika utafutaji, kuliko hawa ndugu lawama.
Tunafanana mkuu
 
Back
Top Bottom