Mideko
JF-Expert Member
- Mar 30, 2015
- 36,415
- 196,316
Na bado akifa mtu kwenye familia unaonekana unawaua wenzio kishirikina kisa ulikuwa huna kitu Sasa umepata😔😔CHUKUA NA HII..
Baada ya kubaini kuwa umezaliwa katika tabaka lenye umasikini
Unaamua kupambana na maisha kwa juhudi zote ili uweze kujitoa katika hilo tabaka then wakati una fight hakuna hata mtu mmoja anayetokea kuku support zaidi ya kukupa salamu tu ,, baada ya muda na hustling za muda mrefu unafanikiwa kufikia malengo yako ... Hapo sasa ndio huwa patamu ndugu wanaanza kutokea huko walipokuwa wamejificha na kuanza kukuomba misaada ..kila kukicha huyu anakuja na shida hii mara huyu naye anakuja na hii..........
Hapoo ndio utajua Maana ya undugu lawama 😂