Ukweli mchungu!! Usalama wa Taifa wanaamini Rais huchaguliwa na kamati ya CCM na si wananchi

Sasa uchaguzi wa nini Nkoi ?!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata hawa wa kuitwa wapinzani hili wanalijua kuanzia mwanzo wa multiparty system,unakumbuka walioanzisha vyama vya siasa?wengi walikuwa system na mpaka sasa ndio hao hao so unapokuwa oya oya kumbuka utavunjwa miguu kwa ajili ya maigizo ya hii nchi.Upinzani wa kweli utaanza siku wananchi watakapochoka ila kwa sasa vuta popcorn furahia maigizo.
 
Inasemekana hata Yule usalama alomtishia kumuua zito Pale bungen ni kada wa CCM
 
watanzania tunapenda kudadisi vitu ambavyo viko nje ya uwezo wetu...... unadhani usalama wa taifa ni level ya vicoba au tycs? acheni masihara .... tunapoteza muda sana kuwajadili hao watu ambao wanatulinda
Only in Tanzania watu wanakwezaaaa kama miungu.
 
Wewe vipi bwana!!! Hii ndo jambo ambalo nalichukia kuliona kuliko yote. Eti wazungu waje, why do we have this inferiority complex against white people?? Why??
They are nothing to us, they destroyed our civilization, changed our course of history, undermined us and they are still undermining us. Why do you even bring they there!!
Eti waje kutusaidia, kwani sisi hatuwezi tatua matatizo yetu wenyewe??
You hate your leader so much ati unataka wazungu wamtoe off people!!!
Mimi mwenyewe kuna mambo kibao sikubaliani nae. Ila sina chuki ya namna hii.....

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwenyewe hapo umeangaika kuandika lugha ya wazungu wakati lugha yako ipo.Itatuchukua karne nyingi sana kuachana na jinamizi lakumtegemea mzungu nasio kazi rahisi kama unavyofikiri.kufika uko kunahitaji mapinduzi makubwa ya fikra sio kuongea ongea tu kirahisi.
 
Wewe vipi bwana!!! Hii ndo jambo ambalo nalichukia kuliona kuliko yote. Eti wazungu waje, why do we have this inferiority complex against white people?? Why??
They are nothing to us, they destroyed our civilization, changed our course of history, undermined us and they are still undermining us. Why do you even bring they there!!
Eti waje kutusaidia, kwani sisi hatuwezi tatua matatizo yetu wenyewe??
You hate your leader so much ati unataka wazungu wamtoe off people!!!
Mimi mwenyewe kuna mambo kibao sikubaliani nae. Ila sina chuki ya namna hii.....

Sent using Jamii Forums mobile app

Kama hapa vyombo vya dola vinaamua nani awe kiongozi na sio wananchi kwanini tusipate usaidizi toka nje? Hii tabia ya watu kupata madaraka nje ya maamuzi ya wananchi ndio hugeuka na kufanya watakavyo na sio umma utakavyo. Viongozi wanaopatikana kinyume na maamuzi ya umma huwa hawajali watu wengine bali wale tu wanaowasujudia kwani hawahitaji kura za wananchi kuwa viongozi. Ni hivi mzungu aje aweke nguvu, mtu awe kiongozi kwa mapenzi ya umma na sio kundi fulani kutuchagulia kiongozi.
 
Hiyo mi ha inenioa majibu ya kwanini Magiguli alisema ccm.itaongoza milele Tufunge mjadala kuhusu sa duku la kura labda mtagute njia ingine mtaa hiwa hivo viti vya wachache ili muwepo japo wakusema ila sijui kwa hali hii naona hata akina zito na kundilake kurudi ni ngumu.... kumbe ni mwendo wa Green na mm naenda tafuta yangu moja mambo yaende
 
Mkuu hata hawa wa kuitwa wapinzani hili wanalijua kuanzia mwanzo wa multiparty system,unakumbuka walioanzisha vyama vya siasa?wengi walikuwa system na mpaka sasa ndio hao hao so unapokuwa oya oya kumbuka utavunjwa miguu kwa ajili ya maigizo ya hii nchi.Upinzani wa kweli utaanza siku wananchi watakapochoka ila kwa sasa vuta popcorn furahia maigizo.
Na ndiyo maana walifanya figisu tusipate katiba mpya ya wananchi !!!.

Lakini nadhani haitusaidii kupiga hatua, bali tunabaki kwenye mawazo yale yale na itikadi ile ile.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah.. Muwe mnasomasoma watanzania! Hivi mzungu aje apotezee hela na nguvu zake kama libya kwa shida ipi?

Au unafikiri mzungu alienda liby kwakuwa anawapenda sana walibya?

Sent using Jamii Forums mobile app

Kwa hiyo kwakuwa hapa nchini hakuna kitu cha kumleta mzungu ndio vyombo vya dola visimamie ccm kukaa madarakani? Basi ngoja tupige kelele hao wazungu waje uone kama hawataoni cha kuchukua.
 
Wewe vipi bwana!!! Hii ndo jambo ambalo nalichukia kuliona kuliko yote. Eti wazungu waje, why do we have this inferiority complex against white people?? Why??
They are nothing to us, they destroyed our civilization, changed our course of history, undermined us and they are still undermining us. Why do you even bring they there!!
Eti waje kutusaidia, kwani sisi hatuwezi tatua matatizo yetu wenyewe??
You hate your leader so much ati unataka wazungu wamtoe off people!!!
Mimi mwenyewe kuna mambo kibao sikubaliani nae. Ila sina chuki ya namna hii.....

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu sikupingi ila nasikitika umetumia lugha yao.
 
Wagombea urais huwa wanapewa ulinzi bila kujali vyama vyao mkuu.
Kama hao walinzi ndio sababu iliyokufanya ushushe huu uzi basi unapotosha!
acha kupotosha hebu twonyeshe komandoo aliyekua anamlinda Hashimu Rungwe!!

tuwche Lowassa na yule mlinz wake wa kila suku kwa sababu ya kuwahi kuwa waziri mkuu
 
acha kupotosha hebu twonyeshe komandoo aliyekua anamlinda Hashimu Rungwe!!

tuwche Lowassa na yule mlinz wake wa kila suku kwa sababu ya kuwahi kuwa waziri mkuu
Kwani hawa wa Magufuli ungewajua kama ni maafisa kama asingeshinda urais?

Tumia akili,usikurupuke tu na kuanza kubwabwaja mitandaoni mkuu.
 
Kama ni hivyo uchaguzi ni wa nini? Lissu ongea na wazungu waje watoe msaada kama waliowapa watu wa Libya kumn'ngoa Gaddafi. Haiwezekani watu tupange mistari mirefu kupoteza muda huku watu wanapitisha watu wao.
Ndiyo maana kujiandikisha na kupiga kura ni hiari ya kila mtu. Kama unaona roho inakuuma sana kwamba kila wakati unayempigia hashindi (iwe kwa uharamu au la) usiende kupiga kura. Ila kuna wengine kila wanayemchagua mara nyingi hushinda. Ama kuhusu usalama wa taifa kutuchagulia wanayemtaka, nadhani hili litakuwa halina tatizo kama watatuchagulia watafanya kazi hiyo objectively. Sie wapiga kura tulio wengi sidhani kama kuna kitu tunafahamu zaidi ya ushabiki.
 
Kunaitajika marekebisho makubwa katika chaguzi zetu.Bunge letu tukufu laweza kurekebisha kasoro zilizopo hili zaguzi ziwe huru na haki.Kuharalisha ushindi usio tokana na matakwa halisi ya wananchi ni shida kubwa
 
Bora umelizungumzia hili.. Nilishawahi kusema kuwa
"Wanaotegemea ccm iondoke madarakani kupitia makaratasi yale yanayotumbukizwa kwenye vile vijisanduku vya kura wanakesha bure"
Moshi mweupe unatokea kwenye kamati kuu ya CCM.Lakini ni baada ya TISS kupitia,
Lowassa alikuwa ametupwa kapuni katika kamati kuu ya CCM,lakini akaja kugombea uraisi huo huo kupitia Chadema hakufaulu hata kama angepata kura zote.
Ina maana bado mgombea uraisi kupitia CCM ndio anakuwa raisi,hawa wengine ni wasindikzaji wa demokrasia.
 
Ndiyo maana kujiandikisha na kupiga kura ni hiari ya kila mtu. Kama unaona roho inakuuma sana kwamba kila wakati unayempigia hashindi (iwe kwa uharamu au la) usiende kupiga kura. Ila kuna wengine kila wanayemchagua mara nyingi hushinda. Ama kuhusu usalama wa taifa kutuchagulia wanayemtaka, nadhani hili litakuwa halina tatizo kama watatuchagulia watafanya kazi hiyo objectively. Sie wapiga kura tulio wengi sidhani kama kuna kitu tunafahamu zaidi ya ushabiki.

Huo ni udhaifu wako ww mpiga kura usiyefahamu lolote, sasa udhaifu wako usihamishie kwa wote. Hao usalama wa taifa wachague kiongozi wao, sio watuchagulie wamtakaye ili alinde ulaji wao.
 
Sawa, ndio maana nasema wazungu waje waingilie kati kama huko Libya maana hakuna demokrasia na wala haijawahi kuwepo duniani.
Badala ya kuomba wazungu waje kuingilia, kwanini usifanye utaratibu wa kuhamia huko huko kwa wazungu ili ukae mbali na mambo maovu yanayofanywa na serikali za kiafrika.
 
Badala ya kuomba wazungu waje kuingilia, kwanini usifanye utaratibu wa kuhamia huko huko kwa wazungu ili ukae mbali na mambo maovu yanayofanywa na serikali za kiafrika.

Kwani wakoloni niliwaleta mimi?
 
mkuu haya mambo yapo hata marekani, wazee wa kazi wakishaamua yupi ndiyo anafaa, hakuna namna, democracy is an imagination of beholders,

Huwezi kuachia nchi itawaliwe na yeyote anayejisikia, lazima achujwe na athibitishwe hasa kulingana na mwelekeo wa chama kwa uzito wake na ushawishi.

Unaposikia fulani kakatwa ndiyo mipango yenyewe, raia wengi hughubikwa na ushabiki kiasi kwamba wakiachwa waamue peke yao, athari nyingi zitatokea, Usalama wanawajua wagombea vizuri kuliko tunavyowajua sisi raia watiifu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo ni usalama iliyoona pia mkapa na kikwete wanafaa kuwa maRais pamoja na ufisadi wote walioufanya pamoja na sekta zote kuoza hao TISS wakaiona bado CCM inafaa kuongezewa muhula !! Kama TISS ndio inawapitisha hawa mafisadi waliofeli kila kitu toka uhuru basi naweza sema tuna SYSTEM mbovu zaidi dunia nzima.

Nachojua TISS wakipanga Rais basi awe kama lipumba hivi au Lissu wangempika wakolee wamuingize CCM maybe then wamsaidie kuiba kura ashinde alafu apige kazi hapo ningesema kweli TISS imefanya la maana ila wanapohakikisha CCM ambayo imejaa ufisadi kupata urais huoni unaipunguzia credibility ya TISS kama chombo makini....
 
Back
Top Bottom