Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,034
- 2,656
Yaani wewe ndo hovyo kabisa!!tuna taifa lililojaa watu wenye mapenzi kwa viongozi kuliko upenzi kwa taifa lao. wako radhi tuendelee na mfumo huu mbovu ili mradi chama lao lipo madarakan. hawajui chama ni maneno tuu yanayoweza kubadishwa muda wowote, wanaostahili kuongoza wanapaswa kuwa watanzania pasipokujali wanatoka chama gan mrad wana nia njema na taifa hili
Unataka kusema kwamba mtu anapenda ndoa yaani mtu anapenda ile heshima ya kusema kwamba nimeoa au kuolewa kabla hata hujapata wa kukufikisha huko??? Ndg unapata mtu aliyesahihi kwa ajili ya ndoa si ndoa then mpenzi hata kwenye siasa hvyo hvyo. ,,,huwezi ukasimamisha mgombea aje awe rais mtu asiyejielewa.. Asiye na maadili na uchapakazi hiyo ni kazi bure!!!
Hapa usidanganye mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app