Ukweli mchungu!! Usalama wa Taifa wanaamini Rais huchaguliwa na kamati ya CCM na si wananchi

Usalama wa Taifa ndiyo wadhibiti wa siasa na uchumi wa taifa letu, wanaona mbali kuliko ushabiki wetu wa kisiasa, walifanya kazi yao kikamilifu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Na huu ndio unafiki wa sisi watanzania na inaprove tuna reasoning mbovu kabisa

2010 mlisema TISS walimkataa Dk Slaa ila huyo Dk slaa leo yupo CCM kapewa ubalozi kabisa na ikulu anaenda anavyotaka??

Haya magufuli alituaminisha CHADEMA inatumika na mabeberu kumdhoofisha na wafia chama mkasema hyo ndio sababu TISS hawawezi ruhusu CHADEMA ishinde ila kituko wanachama wa CHADEMA wanajiunga CCM wanapewa mpaka wizara refer shonza na waitara!! Je ina maana hawatumiki tena na mabeberu kma mlivyotuaminisha??

Hata huyu lissu pamoja na kuitwa msaliti... leo akirudi CCM atapewa wizara ya sheria na ndio hapa napohoji reasoning ya watanzania ikoje... Wakiwa nje ya CCM ndio mnawaona hawafai wakiingia CCM eti ndio wanafaa !!!

Embu msitafute kichaka cha kujifichia semeni tu TISS ni tawi la CCM hayo mengine ni kujustify tu uhuni wenu that's all
 
Unachishindwa kuelewa mtoa mada ni kwamba Magufulu alipochaguliwa na ccm dodoma ilikua na maana kwamba anaenda kumrithi rais aliyyopo madarakani kwa kipindi kile(Yaani kurihi kiti cha mwenyekiti wa ccm taifa), yani JK, sasa inapotokea mrithi wa chama kinachoongoza dola ni lazima alindwe ili kuahakikisha usalama wake hata kabla ya uchaguzi,, sasa wewe ulitaka wamlinde Hashimu Rungwe wa Chauma?
 
Kwa style hii sintopoteza muda wangu wa kupiga kura kwa mtu ambaye wameshamchagua,naunga mkono mapinduzi ya aina yoyote ile ili huu mfumo ubadilishwe
Nalog off
 
Kwahiyo ni usalama iliyoona pia mkapa na kikwete wanafaa kuwa maRais pamoja na ufisadi wote walioufanya pamoja na sekta zote kuoza hao TISS wakaiona bado CCM inafaa kuongezewa muhula !! Kama TISS ndio inawapitisha hawa mafisadi waliofeli kila kitu toka uhuru basi naweza sema tuna SYSTEM mbovu zaidi dunia nzima.

Nachojua TISS wakipanga Rais basi awe kama lipumba hivi au Lissu wangempika wakolee wamuingize CCM maybe then wamsaidie kuiba kura ashinde alafu apige kazi hapo ningesema kweli TISS imefanya la maana ila wanapohakikisha CCM ambayo imejaa ufisadi kupata urais huoni unaipunguzia credibility ya TISS kama chombo makini....
Umeongea fact moja pana sana

Sana yaani sana

Wenye akili watakua wameelewa !

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Lowassa si amepitia kwny system kwa muda mrefu kabisaa?

Iweje sasa wkt anajua kabisa hapa hao sijui TISS wameshamchagua Magu kama rais then na yeye ajitose kugombea kupitia chadema huku akijua hawezi kushinda hata iweje.

Au tulilishwa garasha huku Chadema?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
mfumo wa kikomunisti bado upo ndani ya CCM na TISS, siku hilo pepo la kikomunisti likiondoka TISS ndio siku CCM itakufa na kushindwa uchaguzi, itachukua muda kwa vizee vilivyoingia na kadi za chama kuondoka vyote. Lakini bado kuna hatari ya vijana waliobatizwa kwenye hiyo dini ya ukomunisti wakaendeleza gurudumu, watu wenye mawazo ya kiliberali hawadumu.
 
Kwahiyo ni usalama iliyoona pia mkapa na kikwete wanafaa kuwa maRais pamoja na ufisadi wote walioufanya pamoja na sekta zote kuoza hao TISS wakaiona bado CCM inafaa kuongezewa muhula !! Kama TISS ndio inawapitisha hawa mafisadi waliofeli kila kitu toka uhuru basi naweza sema tuna SYSTEM mbovu zaidi dunia nzima.

Nachojua TISS wakipanga Rais basi awe kama lipumba hivi au Lissu wangempika wakolee wamuingize CCM maybe then wamsaidie kuiba kura ashinde alafu apige kazi hapo ningesema kweli TISS imefanya la maana ila wanapohakikisha CCM ambayo imejaa ufisadi kupata urais huoni unaipunguzia credibility ya TISS kama chombo makini....

tuna taifa lililojaa watu wenye mapenzi kwa viongozi kuliko upenzi kwa taifa lao. wako radhi tuendelee na mfumo huu mbovu ili mradi chama lao lipo madarakan. hawajui chama ni maneno tuu yanayoweza kubadishwa muda wowote, wanaostahili kuongoza wanapaswa kuwa watanzania pasipokujali wanatoka chama gan mrad wana nia njema na taifa hili
 
Ukweli mchungu uliosemwa na mleta mada asilimia mia moja.CCM hawahitaji hata kula moja kushinda uchaguzi wao wanahitaji mgombea wao atangazwe tu. Tume anateua rais wa ccm walewale, usalama wa taifa wa ccm Nazi yao kumshindisha mgombea ursis wa ccm na chama chake kwa njia halali na haramu,hasahasa wanatumia njia haramu.
 
Usalama wa Taifa ndiyo wadhibiti wa siasa na uchumi wa taifa letu, wanaona mbali kuliko ushabiki wetu wa kisiasa, walifanya kazi yao kikamilifu!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wachumia matumbo hao.. wanasisiemu,wamefanya wananchi tutaabike kimaisha(kiuchumi) maana ushauri wao wa kiuchumi kwa mkulungwa ulikuwa butu.

5/5.
 
Back
Top Bottom