Fundi kipara
Senior Member
- Oct 27, 2019
- 125
- 247
Kama Hujui chochote kuhusu Simba ya Nini kuandika humu?Ukweli mchungu.
Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana.
Ni kweli timu yao inajulikana lakini sio kwa mambo ya mpira, kama ni fainali yoyote hawajacheza, kama ni medali yoyote hawana, kama ni makombe mengi hawana, ni utashi tu wa watu wao waliozoea michongo[emoji3].
Yaani timu haijulikani kwa mambo ya mpira, utasikia sisi ni Timu Kubwa Africa wakati wanaishia Fobo Fainali hadi Mapinduzi Cup na hii nayo ndio kama mnavyoona. Kikubwa kujisifia mambo yasiyo ya kimpira kama kupostiwa na page za michezo, yaani ni utoto mtupu kwanzia viongozi, walivyoitwa mbumbumbu hawakukosea kabisa.
Sisi tutafahamika kwa kupitia ujuzi na ubora wa ndani ya uwanja tu, hatutaki mambo mengine.
NB; Kuna tofauti sanaa kati ya timu bora na timu maarufu, yenu sio bora ni maarufu.[emoji23][emoji1666]
Mnazidi kujidhalilisha tu kwa mada za kijuha hukuUkweli mchungu.

Na mwarabu huwa tunamtwanga huko huko kwake.Ukweli mchungu.
Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana.
Ni kweli timu yao inajulikana lakini sio kwa mambo ya mpira, kama ni fainali yoyote hawajacheza, kama ni medali yoyote hawana, kama ni makombe mengi hawana, ni utashi tu wa watu wao waliozoea michongoπ.
Yaani timu haijulikani kwa mambo ya mpira, utasikia sisi ni Timu Kubwa Africa wakati wanaishia Fobo Fainali hadi Mapinduzi Cup na hii nayo ndio kama mnavyoona. Kikubwa kujisifia mambo yasiyo ya kimpira kama kupostiwa na page za michezo, yaani ni utoto mtupu kwanzia viongozi, walivyoitwa mbumbumbu hawakukosea kabisa.
Sisi tutafahamika kwa kupitia ujuzi na ubora wa ndani ya uwanja tu, hatutaki mambo mengine.
NB; Kuna tofauti sanaa kati ya timu bora na timu maarufu, yenu sio bora ni maarufu.ππ€
Pole sana, umeandika kwa uchungu. Simba hakutengeneza mashindano. Ni FIFA na CAFwenye mpira wao, nao wakaona Simba inastahili. Wewe ambaye sio mwenye mpira ndio unasema kwa uchungu kuwa Simba hawakustahili. Tunafahamu mna maumivu makali sana, ila vumilieni tu! Mwiko nyuma!Ukweli mchungu. Tunachofurahia sisi kama Yanga ni kwamba tunajulikana kwa kufanya makubwa, hatujulikani kwa kutengenezewa matukio ambayo yanalazimisha tujulikane na kiwango ni kidogo sana.
Simba imetumika kama Guinea Pig viti maalum kufanya amsha amsha za mashindano mapya tu sababu Ina mashabiki wengi mazuzu wa kujaza uwanja huku timu yao ikiwa Haina kombe lolote msimu wa tatu huu! Simba ni timu yenye promo zaidi duniani ila mpira ni papatu papatu!
Hao Al Ahly Simba imewashindwa sisi Yanga tutawakanda ndani nje, sisi ndio tunajua namna ya kumuadhibu mwarabu!
Pole sana Mwamba wa Lusaka kwa kunyimwa Juice na Waarabu.Pole sana, umeandika kwa uchungu. Simba hakutengeneza mashindano. Ni FIFA na CAFwenye mpira wao, nao wakaona Simba inastahili. Wewe ambaye sio mwenye mpira ndio unasema kwa uchungu kuwa Simba hawakustahili. Tunafahamu mna maumivu makali sana, ila vumilieni tu! Mwiko nyuma!
Mtakuwa na hoja siku mkiutoa ule mwiko huko nyuma. Mnateseka saaana.Huu uzi una mafunzo mengi sana kwa wasomaji. Wachangiaji wenye akili ndogo watamtukana mtoa mada matusi ya nguoni na pia kumtweza utu wake.
Ila wale wenzangu na mimi wenye akili kubwa, watamjibu mtoa mada kwa hoja. Na hiki ndiyo wengi tunakipenda hapa jukwaani.