Ukweli Mchungu: Simba atapigwa nje ndani na Al ahly

Siku kama ya Leo wiki ijayo ndipo kutakapokua vilio na kusaga meno katika dimba la Mkapa kwani Kolozidad atapigwa na kitu kizito.

Baada ya hapo ataenda tena Cairo kufanyiwa mambo mabaya sana na waarabu.

Utabiri utakua hivi game ya nyumbani Simba atapigwa 3 na Kule Cairo atapigwa Bao 4 Kwa sufuri hivo atatoka na jumla ya Goli sabaa Kwa NUNGE.

Na akileta ujinga atapigwa tena 5 a.k.a kono la nyani kwani ameshazoea.
Kama yanga atakavyobutuliwa ndani nje na katikati dhidi ya Mamelodi makandajiwena ,nimelia sana kwa ukweli huu maana ni vyuma vya kutosha hata Eng .Hersi kakili Makandajiwena wataingia fainali ,kama Raisi kasema mimi mshabiki ni nanii hata nikatae.
 
Mashabiki wengi wa simba wameitelekeza timu yao na kuhamia kwa Mamelodi, kwa lengo la kujifariji iwapo watapata matokeo dhidi ya Yanga.

Maana wanajua fika hawana timu ya kuifunga Al Ahly na ule mpira wao wa papatu papatu.
 
Siku kama ya Leo wiki ijayo ndipo kutakapokua vilio na kusaga meno katika dimba la Mkapa kwani Kolozidad atapigwa na kitu kizito.

Baada ya hapo ataenda tena Cairo kufanyiwa mambo mabaya sana na waarabu.

Utabiri utakua hivi game ya nyumbani Simba atapigwa 3 na Kule Cairo atapigwa Bao 4 Kwa sufuri hivo atatoka na jumla ya Goli sabaa Kwa NUNGE.

Na akileta ujinga atapigwa tena 5 a.k.a kono la nyani kwani ameshazoea.
Yanga atashushiwa kipondo hapa hapa kwa Mkapa kule kwa Madiba wanaenda kumkafini tu
 
markup_1000050505.png
 
Mkuu haujajitambua kuwa wewe ni sawa na muhasibu kwa kule upande wa pili? Ukiandika uzi lazima uwe kinyume chake, rejea uzi wako dhidi ya Galaxy. Hivyo ni bora ukae tu kimya usubiri mchezo ufanyike. Kazi ya utabiri kwako ni mgumu
Huyu jamaa ni pacha akee na Labani og, wote ni kula kulala kwa shemeji yao
 
UNATAKA KUSHINDANA NA MUDA?????

Kwanini usisubiri Muda utoe Majibu wenyewe siku ya Ijumaa usiku.????

Mambo mengine hayana haja ya Kuumiza kichwa wala kulialia

FICHA UPUMBAVU.
 
Tutakutana baada ya game kujua Nani wa kuficha UPUMBAVU
 
Siku kama ya Leo wiki ijayo ndipo kutakapokua vilio na kusaga meno katika dimba la Mkapa kwani Kolozidad atapigwa na kitu kizito.

Baada ya hapo ataenda tena Cairo kufanyiwa mambo mabaya sana na waarabu.

Utabiri utakua hivi game ya nyumbani Simba atapigwa 3 na Kule Cairo atapigwa Bao 4 Kwa sufuri hivo atatoka na jumla ya Goli sabaa Kwa NUNGE.

Na akileta ujinga atapigwa tena 5 a.k.a kono la nyani kwani ameshazoea.

[ATTACH

images (1)-1.jpeg
 
Yanga atapigwa katerero hapa kwa Mkapa kule Sauzi anaenda kukeketwa kabisa
 
Back
Top Bottom