Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,837
Simba walimaliza juu ya Al Ahly tena kwa kishindo lakini sikusikia haya makelele kama niliyokuwa nayasikia kwa uto au ndio kipofu kaona mwezi?
Hawa jamaa baada ya kuwafunga CRB goli 4 walijitapa eti watafika fainali, sasa sijui wangeongoza kundi mbele ya mabingwa wa Afrika wangepandwa na mizuka hadi wangetembea uchi?