Ukweli Mchungu: Simba atapigwa nje ndani na Al ahly

Siku kama ya Leo wiki ijayo ndipo kutakapokua vilio na kusaga meno katika dimba la Mkapa kwani Kolozidad atapigwa na kitu kizito.

Baada ya hapo ataenda tena Cairo kufanyiwa mambo mabaya sana na waarabu.

Utabiri utakua hivi game ya nyumbani Simba atapigwa 3 na Kule Cairo atapigwa Bao 4 Kwa sufuri hivo atatoka na jumla ya Goli sabaa Kwa NUNGE.

Na akileta ujinga atapigwa tena 5 a.k.a kono la nyani kwani ameshazoea.
Utopolo hovyo sana, unatafuta wa kupigwa bao 7 ili muwe sawa? Endelea na kushikilia record yenu ya kupigwa 7
 
20240321_212902.jpg
 
Nusu ni;
Simba vs Petroleos
Asec Mimosas vs Young Africans

Nilioneshwa kabla hata ya draw ya robo fainali.

Screenshot kabisa!
Young Africans wataenda Nusu final kwa nauli na bus lipi?
Tutolee vichekesho sie hapaa.
 
Back
Top Bottom