je parle
JF-Expert Member
- Nov 28, 2018
- 1,934
- 3,691
Ndugu zangu Wanayanga pamoja ya kuwa tumemfunga Geita Gold goli tatu baada ya mapumziko na simu nyingi kwa viongozi wa Geita ila bado ukweli kazima usemwe ya kuwa kuwa timu yetu itaishia MAKUNDI tu na Sio vinginevyo
Yanga tuna point 7 kibindoni huku tukiwa nafasi ya pili lakin kwa game zilizobaki bado hatuwez kushinda na kutoka na points 3 mbele ya mazembe ambae alishajeruhiwa mara mbili na timu kutoka tunusia
Pia hawa jamaa WA Tunisia hawawezi kufungwa na kina moloko na mzize sijui musonda , tusidanganyane.
That's why eng.hersi alishasema kuvuka MAKUNDI ni ziada tu
Lakin malengo ya yanga kwa mwaka huu yalishatimia siku nyingi huko kwingine ni kiherehere au bonus.
Tunashukuru kwa kushiriki ndugu zetu Wana jangwani tujipange na champion mwishoni mwa mwaka.
Nimeandika haya kwa kutumia weledi mkubwa sana na jicho kali mno.
Hifadhi hii post mtakuja kunikumbuka ndugu zangu
Wanapita tp mazembe
Na us monastir
Mwisho WA siku
Us monastir 14pts
Mazembe 9pts
Yanga (bahasha FC) 7pts
Real BAMAKO 2pts