The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264
dini hairuhusu kuzaa kabla ya ndoa
unataka kuhalalisha uzinzi.. na je ukazaa wakawa wanakufa hapo unasemaje? na kunasababu zinzsababisha watoto kuzaliwa na kufa kisayansi kabisa madokta watasema hili.. je hapo unasemaje?

Uzinzi upo toka enzi na enzi.
kweli kabisa aiseemy dear ukiona hivyo ujue huyo amekumbana nayo au kuna mtu wake wa karibu yanamsibu
Dini hairuhusu kuzaa kabla ya ndoa
Mtoa mada kajipange upya
Kwanza hakuba ukweli katika ukweli wako mchungu unaosema
Itbis only a call of nature kwamba watoto wanapatikana iwe nje au ndani ya ndoa
Kusudio la.kwanza la.ndoa sio watoto bali ni mwanamke na mwanaume waambatane wawe mwili mmoja.....watoto ni zawadi tu
Kwa hiyo kwa wenye ndoa ambao hawana watoto wasikwazike ni kwamba Mungu hajaamua kuwapa zawadi hiyo.
NB nina ndoa na nina watoto
my dear ukiona hivyo ujue huyo amekumbana nayo au kuna mtu wake wa karibu yanamsibu
Ndio kuna ndugu nimewaona ndoa zao zipo hatarini kuvunjika kisa hawapati watoto.
kweli kabisa aisee