Ukweli Mchungu: Marehemu Benard Membe hana mchango mkubwa kwenye taifa hili kama alivyokuwa Lyatonga Mrema

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Naona tribute zimekuwa nyingi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?

Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.

Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.

Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letu
image_search_1683916001742.jpg
 
Naona tribute zimekuwa nyimgi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?

Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.

Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.

Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462
Naona leo utakesha ukisheherekea kifo cha membe. Sukumagang hatimae leo mmepata faraja.

Nyambaff
 
Naona tribute zimekuwa nyimgi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?

Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.

Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.

Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462
Unamwonea wivu hadi marehemu itakuwaje walio hai.Hapo ndipo safari ya kumpuzika mahala pema huanzia.
 
Naona tribute zimekuwa nyimgi sana . Lakini mbona mnasahau ule upigaji kupitia ubalozi wa Libya?

Mrema alizuia dhahabu za taifa letu zisiibiwe.

Alisema siku saba majambazi wakabizi bunduki polizi na walikabidhi.

Tuwe wakweli juu ya mashujaa wa taifa letuView attachment 2619462
Bahati mbaya humjui unayemdhihaki kwa usilolijua huyo ni mmoja ya wale ma comrade 100 wa kwanza kuingia usalama wa taifa na ni mtu ambae kama nchi imetowa hela nyingi mno kumgharamia kumsomesha toka awamu ya kwanza

Ameshiriki mission nyingi sana kwa ajili ya nchi hii hata ile ya kule DRC huyu ndo alikuwa master mind labda kama hulijui hilo

Mengine yatabakia kuwa siri ya serikali na kwa wanaoyajua tu na hii ndo shida ya majasusi mara nyingi hata wakifaga huwa sifa zao na mission zao nyingi walizofanyaga kwa Tanzania huwa hazielezewi zinabakia kuwa siri tu.

Hivyo kwa usilolijua ni bora kukaa kimya sababu wahusika wanakuskia na kukuona mropokaji kwa kupayuka mambo usiyoyajua.
 
Ishu ni mchango wake kwa taifa letu
 
Siyo kuonea wivu wasifu wa marehemu, ni kuangalia upande wa pili wa shilingi.
Wewe unaweza ku-single out accomplishment angalau moja ya Membe?
Accomplishment zake ni kubwa sana Kwa nchi yetu na kimedani huwezi mfananisha na hao vidampa wengine
 
Oyaa this is non sense kwan lazima awe na mchango mkubwa, ww kwa taif ili unae mchango gani kaka?? Guys plz focus on your problems kwnza achanen na nyuzi za kipuuzi!

Sorry Kama nimekosea
 
Back
Top Bottom