UKWELI MCHUNGU: Magufuli hakuahidi maisha bora kwa kila Mtanzania! Alisema, 'Hapa kazi tu'!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Aug 28, 2016
8,658
15,784
Sioni kama kuna sababu legitimate ya mwananchi yeyote kulalamika kuwa maisha yamekuwa magumu zaidi tangu Magu ashike nchi...
Tofauti na Kikwete ambaye aliahidi maisha bora kwa kila Mtanzania na hayakupatikana mpaka anaondoka madarakani, Magufuli hakuahidi kitu kama hicho. Alichosisitza ni kuwa katika kipindi chake, watu watalazimika kufanya kazi zaidi ili wapate the same level of income compared to kipindi cha JK.
So ukweli mchungu ni kuwa, Msi mdrive Magu, kudeliver kitu ambacho hakuahidi kwenye kampeni zake. Aliahidi kuwa mtachapa kazi na kweli sasa hivi kila mtu anachapa kazi kwa bidiii haswa.
Ubora wa maisha au kutajirika haikuwa ahadi yake na hivyo, hawajibiki kwa hilo...
 
pole mkuu!!!
 
Duh!
Mimi huwa nafikiri kwamba; lengo la serikali yoyote ile ni kuhakikisha maisha ya laia wake yanakuwa bora!
Kumbe siku hizi kauri mbiu ina Uzito kuliko lengo lenyewe!
Aisee!
We jamaa ni kichwa!
 
Back
Top Bottom