Ukweli mchungu: Lowassa ameshatoswa na CCM

I think your lost and not informed. If you only knew................u would have not replied me with accusations that your not sure off. For your info. Ndo maana nyerere alisemalisema watanzania wanahitaji elimu kwanzam sasa nimeamini.
 
Kama tunafikiria kumpa Lowasa Urais basi Chenge awe makamu wake, maana hawa jamaa ni maji marefu
 
Kama tunafikiria kumpa Lowasa Urais basi Chenge awe makamu wake, maana hawa jamaa ni maji marefu

Rostam waziri wa viwanda na biashara, Prof Kapuya wanawake na watoto, Karamagi Nishati na madini!
 

Kuna Askofu Mkuu Malasusa wa Lutheran yeye ni msemaji wa familia ya EL,alikuwa hivyo kwenye harusi ya binti wake EL huyo hawezi kumwanga wala kumkana.
 
Rostam waziri wa viwanda na biashara, Prof Kapuya wanawake na watoto, Karamagi Nishati na madini!

Eh Mungu pishia mbali ni sawa na Chui kumpa kondoo awalinde
 
alie mwaminifu na mwadilifu kuliko lowasa ndani ya ccm naomba anijibu hapa kama anaogopa kuwa muwazi anipigie 0754224344
 
hivi kwanini watu kama akina habinder seth wanaisumbua gvt kikwete una usalama wa taifa, jeshi, pilice, magereza n.k unaogopa nn?
 

pengo atueleze fedha za escrow wamepeleka wapi.kanisa linapokea hela chafu.pili wakatoliki wanaogopa sera ya elimu bure ya lowassa.wemezoe kutoza ada za kifisadi kwenye shule zao.maskini gani anaweza kusoma shule za akina pengo
 
kikundi cha lowassa ni kikubwa kwa hiyo lazima kuna kitu kitatokea, kisha kitasingiziwa chadema

ndani ya chama cha mapinduzi kuna makundi na migogoro ya namna hyo.

sijaona sabb wastaafu wanaingilia nini siasa, wanasababisha chuki...waziri alietoa kauli juzi sio mstaarabu kabisa

ingieni tuone Team lowassa
 
Huo ni mtazamo wako. Ila Lowasa kuwa Rais no no no noooooooooo!

Uko kwenye kamati kuu ya CCM au??? Manake mna mapenzi na CCM wakati huo huo mnawakataa wagombea kutoka ndani ya chama! Inakuaje CCM yenyewe ina wapinzan ndani ya CCM? Ni sawa na wale walokua wanajenga mnara wa babeli...!
 
Mimi naamini chama chochote ni taasisi na si mtu binafsi hivyo basi maamuzi yanapotolewa yatakuwa ñi faida kwa taasisi na sio mtu mmoja. Tatizo ninaloliona mimi huyo mgombea wenu yuko zaidi kibnafsi na sio kama taasisi. Nasema hivyo kwa sababu yeye akiwa Rais, Mwakyembe sura yake ataiweka wapi, Kinana ataendelea kuwepo chamani? Bwana mdogo aliwahi sema ikulu sio mahali pa kulaza wagonjwa je ataendelea kuwepo chamani? Hivyo kwa kumuwema yeye kuwa Rais ni kuwaondoa mwakyembe kinana na nape kwenye chama na ccm kama taasisi naamini haiko tayari kupoteza key figures kwa faida ya mtu mmoja

Nawasikiliza!!!!!
 
ccm ni mwanaume gani anaweza kumzua lowassa asigombee.mnataka kutuchagulia vipanga wengine watutese.lowassaaaaaaa for presdentialllllllllllll
 
rais hachaguliwi na mimi david bali anachguliwa nq wa tz wote awe lowasa, au nani kura za watanzania ndo zitaamua ila kimsingi tuna opportunity ya kiwashauri watz wenzetu wafanye maamuzi sahihi bila kujali itikadi zao
 
Mbona mgombea wa CCM 2015 Yupo wazi tu,,, Mgombe ni BENARD MEMBE,,, Lowassa kiukweli kikwete kesha msaliti siku nyingi,,

Naomba Mungu CCM wamsimamishe Membe, watajuta kuzaliwa na nami nitaliita "kosa la msingi"
 


Mkuu nakuunga mkono na ikiwezekana naunga mguu pia.
 
Hua napenda chambuzi fupi na makini kama hizi.Zilizojaa facts na kumbukumbu.
 
Kweli nimeamini Lowassa ni Kimbunga, tena ni Tsunami!!!! Hofu walionayo ni kutokana na nguvu ya Lowassa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…