Ukweli mchungu kwa Mwigulu Nchemba.

Ukweli mchungu kwa Mwigulu Nchemba.

Status
Not open for further replies.

Kimboka

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2012
Posts
353
Reaction score
163
Aslam alykum wanajf,

*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja Iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la Iramba Magharibi,kijiji cha Makunda,nimeendelea kumlaumu Mungu kwanini amenichagua kuwa mwalimu tena ktk wilaya hii ambayo hakuna maendeleo hata kidogo,

*ktk kijiji hiki cha Mwigulu hakuna umeme,hakuna maji safi na salama,hakuna hata zahanati,kuna barabara mbovu,exactly hakuna cha maendeleo hapa nyumbani kwa Mwigulu,

*Zaidi ya yote ikanibidi nifatilie maisha binafsi ya mbunge wa huku kiukweli ni hatari,;Mwigulu hana nyumba hapa makunda ila akija anapumzikia kwenye nyumba ya kaka yake,nyumba ya kaka yake ndio ina solar kijiji kizima hivyo tunachaji simu zetu hapa kwa shs 1000,

>MWIGURU ALIWAHI KUPATA KICHAA;Mhe Mwigulu alisoma mpaka darasa la tano na kisha kuachishwa shule kutokana na tatizo la akili lilokuwa linamkabili,Baada ya kuacha masomo alipotea kijijini hapo kwa miaka kadhaa na akakamatiwa ktk pori la Misigiri,pori ambalo linahistoria ya kuwa kambi za majambazi wateka magari.
 
Mkuu hata kama hatumpendi miguu sio kihivyo sasa! Unaandika kama unakimbizwa! Kwahiyo ndiyo umemaliza hapo?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Nimejua sasa ndo maana huyu Bwana Mwigulu wakati wote anatoa hoja za kukurupuka tu, kwa maisha ya namna hiyo lalima awe na akili mbovu
 
Mkuu hata kama hatumpendi miguu sio kihivyo sasa! Unaandika kama unakimbizwa! Kwahiyo ndiyo umemaliza hapo?

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums

Mkuu nimeweka ukweli mtupu wala sina nia mbaya.
 
huyu jamaa mtu mdogo sana tumuache kwa sasa tuangalie mustakabali ya nchi yetu ambayo rasimu inasema tuwe na marais watatu kitu ambacho hakiwezekani.
 
Halafu anajisifu kwamba yeye mwanaume.Mwanaume gani ambaye hajali hata nyumbani kwake?Kweli magamba ni bidhaa feki.
Aslam alykum wanajf,

*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la iramba magharibi,kijiji cha makunda,nimeendelea kumlaumu mungu kwanini amenichagua kuwa mwalimu tena ktk wilaya hii ambayo hakuna maendeleo hata kidogo,

*ktk kijiji hiki cha mwigulu hakuna umeme,hakuna maji safi na salama,hakuna hata zahanati,kuna barabara mbovu,exactly hakuna cha maendeleo hapa nyumbani kwa mwigulu,

*Zaidi ya yote ikanibidi nifatilie maisha binafsi ya mbunge wa huku kiukweli ni hatari,;mwigulu hana nyumba hapa makunda ila akija anapumzikia kwenye nyumba ya kaka yake,nyumba ya kaka yake ndio ina solar kijiji kizima hivyo tunachaji simu zetu hapa kwa shs 1000,

>MWIGURU ALIWAHI KUPATA KICHAA;Mhe mwigulu alisoma mpaka darasa la tano na kisha kuachishwa shule kutokana na tatizo la akili lilokuwa linamkabili,Baada ya kuacha masomo alipotea kijijini hapo kwa miaka kadhaa na akakamatiwa ktk pori la misigiri,pori ambalo linahistoria ya kuwa kambi za majambazi wateka magari.
 
Nakuonea huruma sana ww mleta mada, maana kucha, meno na macho yako yako hatarini
 
Hii inaonesha ni kwa kiasi gani watu wa huko hawajafunguka. Bila shaka ndiyoo wale wanaosema rais wa nchi ni Nyerere. Wanahitaji mkakati maalum wa kuwaelimisha.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Mh,baada ya kukamatiwa hapo nini kiliendelea? Embu tujuze iliendeleaje hadi akahitimu msingi,sekondari hadi chuo
 
Sasa tumeelewa vizuri kwa nini anasema maneno kama mtu ambaye afikirii. Vile vile tumejua ni kwa nini yeye ndo kiongozi wa kikundi cha Ujambazi ndani ya CCM.
 
Duh kama ana hata kibanda cha kufikia naamini hao wanaosema huyu bwana hafai hata kidogo..ajichunguze.
 
Hapa watakuja na kusema JF wanatukana viongozi wakati watu wanasema UKWELI. Tatizo la Watanzania UKWELI tunaita Matusi na Uchochezi
 
Aslam alykum wanajf,

*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la iramba magharibi,kijiji cha makunda,nimeendelea kumlaumu mungu kwanini amenichagua kuwa mwalimu tena ktk wilaya hii ambayo hakuna maendeleo hata kidogo,

wewe ni mzushi, muongo na mpotoshaji mkubwa..mwigulu amezaliwa kijiji cha ulemo
 
Aslam alykum wanajf,

*Tangu nimepangwa kufundisha shule moja iramba ktk kijiji alichozaliwa mbunge wa jimbo la iramba magharibi,kijiji cha makunda,nimeendelea kumlaumu mungu kwanini amenichagua kuwa mwalimu tena ktk wilaya hii ambayo hakuna maendeleo hata kidogo,

*ktk kijiji hiki cha mwigulu hakuna umeme,hakuna maji safi na salama,hakuna hata zahanati,kuna barabara mbovu,exactly hakuna cha maendeleo hapa nyumbani kwa mwigulu,

*Zaidi ya yote ikanibidi nifatilie maisha binafsi ya mbunge wa huku kiukweli ni hatari,;mwigulu hana nyumba hapa makunda ila akija anapumzikia kwenye nyumba ya kaka yake,nyumba ya kaka yake ndio ina solar kijiji kizima hivyo tunachaji simu zetu hapa kwa shs 1000,

>MWIGURU ALIWAHI KUPATA KICHAA;Mhe mwigulu alisoma mpaka darasa la tano na kisha kuachishwa shule kutokana na tatizo la akili lilokuwa linamkabili,Baada ya kuacha masomo alipotea kijijini hapo kwa miaka kadhaa na akakamatiwa ktk pori la misigiri,pori ambalo linahistoria ya kuwa kambi za majambazi wateka magari.

haya unafiki wako umefika, MWIGULLU jembe wewe umbea wa saloon za machangudoa sijui kama anababaika nao
 
mungu amjaalie mzima mh. mwigulu nchemba ili aendelee kuwa mwiba kwa chadema na watu wenye chuki kama mleta mada
 
Mh,baada ya kukamatiwa hapo nini kiliendelea? Embu tujuze iliendeleaje hadi akahitimu msingi,sekondari hadi chuo
Hapo sasa, njia ya muongo ni fupi wewe, subiri uone anabyojikanyaga
 
wewe kumlaumu mungu ni ujinga wako kwa sababu uliposoma ualimu hukulazimishwa, ni upungufu wa akili yako tu
 
mungu amjaalie mzima mh. mwigulu nchemba ili aendelee kuwa mwiba kwa chadema na watu wenye chuki kama mleta mada

teh teh teh, kumbe imebidi watume watu kijijini kwake ili wamchafue? Kazi kweli kweli, sasa nimeanza kuamini kuwa MWIGULLU ni mwiba kwa CDM, awe , mwangalifu isijekuwa huyu jamaa ameongozana na kijana wa sumu a.k.a BWS
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom