Hank_31
JF-Expert Member
- Dec 26, 2013
- 855
- 2,111
"SINGLE MOTHER'S WANAWAHARIBU WATOTO WAO TABIA"
"Wazazi tuna nafasi kubwa sana ya kuwasaidia wasichana kusimama lakini kwa sababu ya mambo mengi na dunia ilipo, tunawahonga na tunawaogopa watoto wetu"
"Kwa wazazi wa upande mmoja "Single Parents" ikitokea bahati mbaya akilelewa na mwanamke 'Single mother's' wengi wanakuwa watoto wabaya (kitabia) wawe wa kiume au wa kike sisi tuna zile hisia za wewe kama mwanamke kuwa peke yako na kupeleka kwa mtoto yaani unamuhonga unajaribu kuweka nafasi yako kwa mtoto unaona yuko vizuri kumbe unampoteza kwahiyo malezi ni kitu muhimu sana" Rose Urio, Malkia wa Nguvu.
.......................NAWASILISHA........................