Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 10,026
- 20,271
wanaishia tu kupata mimba na kuwa single mother. uzinzi haunaga mwisho mzuri.Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Hapo sawaNdio.
Tena mashuhuri.
Wanaume kwa wanawake
Kufananisha gari na hii bidhaa ni makosa makubwa..Anabaki nacho ila kinachakaa..
Gari inabaki na tyre zake ila inapopita njia tofauti tofauti inapata damage mbali mbali.
Kuna tofauti ya gari inayopita njia nzuri yenye lami na ile inayopita kwenye njia za vumbi, makorongo, tope n.k
Well saidHizo ni hadithi zinazowapatia ajira, kwa hivyo siwezi kutegemea waseme tofauti.
Kuna muktadha fulani mdogo wako sawa. Lakini, hayo maneno yanaweza kuwa na maana zaidi Marekani ambako watu hata masikini wana options nyingi za kutajirika. Unaweza kufanya maandalizi, fursa ziko nje nje, nyingine zinatafuta watu hazipati, unakutana nazo, unakuwa umesababisha bahati ikutembelee.
Tatizo hawa motivational speakers wanaiga sana maneno ambayo hayakukusudiwa kutolewa kwa watu wa dunia yao, yalikusudiwa kutolewa kwa dunia ya Wamarekani.
Ukizaliwa masikini Tanzania, hata hizo zinazoitwa fursa zenyewe ni mitego ya wewe kupigwa uchukuliwe hata hicho kidogo ulicho nacho, ukijiandaa ukutane na fursa sehemu ambayo fursa zina figisu kibao, kuitoa ni lazima upige ma karate kupita movies za Hong Kong za miaka ya 1970s, hapo ukikosa fursa napo utalaumiwa?
HeheheheOya kabla hujabishana na huyu mwamba lazima uwe umekula vitabu haswaa...
Aaaah sawa sawa...
Mi nachokubali upo active sana.
Kiufupi ujawahi kupoa mkuu.
Wee comment ukiona neno Mungu yaani hulazi ni chap kwa haraka..
Jichanganye tuu..
Watu hawajasoma chochote wala hawajui kitu zaidi ya mavitabu yao ya kidini halafu wanataka kuja kujenga hoja na mtu aliyesoma philosophy, laws of Contradictions, ma quantum physics, ma laws of physics ma universe huko, Scientists karibia wote, Religion karibu zote.....ππHehehehe
Inawezekana pia kwa wengi wao sababu zilizowafanya washindwe kutafuta mtaji bila kudanga ndiyo hizo hizo zinawafanya washindwe kufanya biashara baada ya kupata mtaji kwa kudanga.
Mara nyingi sababu ni uwezo mdogo kifikra.
Mtaji mdogo ni sababu nyingine.
Kukosa network hakuwezi kudogoshwa.
Ma mara nyingine mafanikio ninsuala la bahati. Hatuwezi kuacha kuzungumzia bahati.
Mtu aliyejipanga vizuri kila kitu anaweza kutofanikiwa kwa kukisa bahati ya kuwa at the right time, at the right place, halafu, mtu ambaye hajajipanga vyovyote akaipata bahati hiyo.
ameji contradict mwenyeweHauamini kuna Divine power ila unakubali bahati? Make it make sense mkubwa umeanza kuisha makali, and if you are really smart as u potray yo self utakuja kiri someday! Am sure huna u smart wa kumzidi mtu kama Andrew Tate go watch his revert story as a former atheist.
pia kisayansi bahati ni nini kwa uelewa wako coz everything has to be proven scientifically kwa mujibu wako mbona unaji contradict, unasemaga kila kitu kina explaination na visivyokua na maelezo ni binadamu tu hajajua bado! Too many loopholes, karibu upande huu kiongozi ata ku research tu nmekuambia mara kwa mara this world is a biggest puzzle never limit your self kua ume master swala flani, elimu haijawahi kutosha ata usome tangu unajitambua hadi unakufa kuna meeengi utayaacha hujajua!
No God, no spirits, no destiny ila kuna bahati ππ€π
Swali zuri.Mkuu unawezaje kuamini Swala la bahati, ikiws huamini uwepo wa Mungu,
Labda nikuulize bahati ni nini, unawezaje kuthibitisha mambo ya bahati ,
Unaweza kuona contradiction kama tu ume define kuwa ni lazima bahati itokane na Mungu.ameji contradict mwenyewe