Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,185
- 30,681
Unathibitisha vipi kwamba Divine power ipo na si makisio yako tu?Swali zuri, hapo nime relate kama jisi usivoweza kuelezea bahati ndo huwezi kuelezea complexity ya Divine Power kwa maswali yenu kua Mungu huyo yuko wapi nionyeshe.
Bahati ni nafasi ambayo huweza kutokea wakati wowote tu pasipo wewe kutarajia.Ndo na me nasema nioneshe bahati iko wapi na nifanyie calculation ya bahati ntakazopata hadi nakufa now nijijue kabisa.
So, life has no random event at all?Sichanganyi.
You use miracle as a component of luck. Creating a possibility of you just becoming the king of Denmark.
I use components that can be described to descibe what Luck is. Creating the possibility of you getting "Lucky'.
Always be well prepared to look and/or seize an opportunity.
Hizo habari za divine power ni imani za watu zisizoweza kuthibitishika.Unathibitisha vipi kwamba Divine power ipo na si makisio yako tu?
Kabla ya kuanza kuelezea complexity ya Divine power, kwanza lazima ueleze na uthibitishe ipo.
Otherwise hii complexity ni speculation tu.
Divine power hiyo haipo kwenye uhalisia.
Bahati ni nafasi ambayo huweza kutokea wakati wowote tu pasipo wewe kutarajia.
Kuna opportunity sasa hivi ya wewe kuwa Mbunge South Africa. Ipo right now, you just think it's not possible because you are not prepared for it.Kwa hiyo mtu ambaye hajafanya preparation yoyote, kakuta opportunity tu imemtembelea, hiyo ni luck au si luck?
No.So, life has no random event at all?
Hujajibu swali ambalo nimeuliza, halafu swali ulilolijibu sijaliuliza.Kuna opportunity sasa hivi ya wewe kuwa Mbunge South Africa. Ipo right now, you just think it's not possible because you are not prepared for it.
Hata pisi kali inaweza kukwambia twenzetu sasa hivi, but kama hauko prepared for it you can't seize it.
Even the virtual particles that appear out of the energy of a vacuum and are quickly annihilated back into the vacuum in quantum physics are not doing so randomly?
Nmechoka mkuu, swaum inakabaaa natokomea kusikojulikanaUmeona ligi hiyo kuna
Kiranga
Man rody
Na mwingine nimemsahau ila wapo very serious... Yaani wee ongea kila kitu ila usiseme Mungu...
Ukisema tuu hawa hapa 😂😂😂😂
Wiki hii mmetuandama sana.Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
😂😂😂😂😂 Mda wa kufuturu huu..Nmechoka mkuu, swaum inakabaaa natokomea kusikojulikana
Ni luck ndio sio probability kama ulivotupa mfano wako hafifu wa coin.Hujajibu swali ambalo nimeuliza, halafu swali ulilolijibu sijaliuliza.
Nimeuliza hivii.
Kwa hiyo mtu ambaye hajafanya preparation yoyote, kakuta opportunity tu imemtembelea, hiyo ni luck au si luck?
Ka'mkubwq Kiranga, suala la bahati unalizungumziaje?Inawezekana pia kwa wengi wao sababu zilizowafanya washindwe kutafuta mtaji bila kudanga ndiyo hizo hizo zinawafanya washindwe kufanya biashara baada ya kupata mtaji kwa kudanga.
Mara nyingi sababu ni uwezo mdogo kifikra.
Mtaji mdogo ni sababu nyingine.
Kukosa network hakuwezi kudogoshwa.
Ma mara nyingine mafanikio ninsuala la bahati. Hatuwezi kuacha kuzungumzia bahati.
Mtu aliyejipanga vizuri kila kitu anaweza kutofanikiwa kwa kukisa bahati ya kuwa at the right time, at the right place, halafu, mtu ambaye hajajipanga vyovyote akaipata bahati hiyo.
Usichukulie preparedness kama ni kitu ambacho mtu anafanya. Unaweza kufanyiwa na watu pia. Kwa mfano, mtu mrefu is more prepared kuliko mbilikimo kushinda 1v1 basketball match ceteris paribus. He is just more "prepared" not necessarily as a function of his/her effort.Hujajibu swali ambalo nimeuliza, halafu swali ulilolijibu sijaliuliza.
Nimeuliza hivii.
Kwa hiyo mtu ambaye hajafanya preparation yoyote, kakuta opportunity tu imemtembelea, hiyo ni luck au si luck?
How do you interpret Kiyosaki, is he a Scam?You always work for money.
Warren Buffet ni investir mkubwa miaka na miaka, he is the king of "I don't work, my money work for me" philosophy.
Lakini ukiona hiyo mi financial reports anayoisoma kila siku, unaweza kumhurumia.
Amd je doesn't only save money he has, he even save money he doesn't have by using credit sparingly.
Unaelewa kuwa, kama kweli kuna contradiction ndani yangu, hilo nalo ni uthibitisho kwamba hakuna Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote?Ni luck ndio sio probability kama ulivotupa mfano wako hafifu wa coin.
Yani kama unakuja huku kwangu alafu unanikataa vibaya vibaya! Bro keep digging, keep researching the answer is out there waiting for u.. mimi sio muhubiri na sina elimu kuuubwa ya dini but i can easily spot contradictions ndani yako. Thanks for the inputs
Dig.
Ka'mkubwq Kiranga, suala la bahati unalizungumziaje?
Ni la kiimani au kifalsafa.
Ukiwa prepared bila kufanya lolote, hiyo si bahati tayari?Usichukulie preparedness kama ni kitu ambacho mtu anafanya. Unaweza kufanyiwa na watu pia. Kwa mfano, mtu mrefu is more prepared kuliko mbilikimo kushinda 1v1 basketball match ceteris paribus. He is just more "prepared" not necessarily as a function of his/her effort.
Anayetangatanga probably has two hands or even a hand that can harvest that water, not necessarily the bags or some extra skills.
My answer is YES.Even the virtual particles that appear out of the energy of a vacuum and are quickly annihilated back into the vacuum in quantum physics are not doing so randomly?
If yoir answer is yes, how do you know so?
Hapana, until the opportunity arises.Ukiwa prepared bila kufanya lolote, hiyo si bahati tayari?
I do not like absolutes za "is he a scam or not".How do you interpret Kiyosaki, is he a Scam?