Sasa umejiandaa na mabegi ya ngozi, na vifaa vya kuchimba kisima, halafu unakuta kila unapoenda hakuna maji.Huko siyo kujiandaa.
Kujiandaa jangwani ni kuchimba kisima baada ya kutembea na kukuta oasis.
Au kuchota maji kwenye mabegi ya ngozi na kuyatumia kwa uangalifu.
Expecting rain in desert shows how unprepared someone is in tackling his/her problems.
Wanapenda ukuni tu hamna kingine. We mwenyewe sema ipi kazi rahisiHahaha kuna bishara zingine hazina profit kabisa moja wapo ni hyoo. Madem shtukeni ๐คฃ
You always work for money.So, the dont work for money and dont save money is an Oxymoron?
๐๐ unajijibu mwenyewe kiongozi, bahati ni opportunity ilio ku favour upande wako. Nimekupa mfano wa couples mbili wote wana nia ya kutafuta watoto eti wee unajibu hamkua tayari na partner wako ๐๐Kama hujapata mtoto maana yake hakukuwa na opportunity ya kupata mtoto au wewe na partner wako hamkuwa tayari. Kwa sababu ukisema bahati umamaamisha nini?
Hakuna haja ya kuelezea Mambo kwa kutumia majini sijui au whatever hata kama haya make sense.
Bahati ni kwa sisi binadamu mere mortals wala haimuusishi Mungu yuko above it! Good, Evil, pure, rotten, korokoro zote zimo ndani ya Fate! Mungu anaumba kila kiumbe na fate yake kwetu ni random kwake ni pre-destinedDhana ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwapo inapingana na dhana ya bahati/ randomness kuwapo.
Maana, bahati inaweza kumzawadia mtu muovu asiyestahili na kumnyima mtu mwema anayestahili, kinyume na haki.
Hivyo, kuwepo kwa randomness, bahati, ninushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
To close this dialogue, kama huwezi elezea pure randomness na umekiri binadamu anahitaji bahati kule juu.. tafadhali usije kuuliza mtu humu tena eti Mungu yuko wapi nionesheni, Adios.
Hizo mada zina thread zake huku utaharibu tu
๐๐๐๐๐๐ Ilikua hivi....๐ค๐ค๐ค
Yaani hiyo couple ilyopata mtoto kulikuwa na opportunity ya wao kupata mtoto. Egg na Sperm hai ziliungana baada ya mwanaume kuwa aroused, kuingiza na kumwaga millions of sperms, the fastest ikaingia kweny yai na mimba ika tungwa.๐๐ unajijibu mwenyewe kiongozi, bahati ni opportunity ilio ku favour upande wako. Nimekupa mfano wa couples mbili wote wana nia ya kutafuta watoto eti wee unajibu hamkua tayari na partner wako ๐๐
Hata tufungie couples 2 sahv kwenye vyumba viwili tofauti for experiment kwa kuanzisha stop watch kwa maelekezo maalum, we all know couple 1 itatangulia kupata mtoto na ndo bahati!
Huyo Mungu umemuweka kwa hoja ya nguvu tu, hujatumia nguvu ya hoja.Bahati ni kwa sisi binadamu mere mortals wala haimuusishi Mungu yuko above it! Good, Evil, pure, rotten, korokoro zote zimo ndani ya Fate! Mungu anaumba kila kiumbe na fate yake kwetu ni random kwake ni pre-destined
Usishangae ukaja kua muumini mzuri tu mana fate yako huijui my friend
U get my grip?
Mkuu,Yaani hiyo couple ilyopata mtoto kulikuwa na opportunity ya wao kupata mtoto. Egg na Sperm hai ziliungana baada ya mwanaume kuwa aroused, kuingiza na kumwaga millions of sperms, the fastest ikaingia kweny yai na mimba ika tungwa.
Now, tunaweza kumaliza muda na kuelezea kwanini couple nyngine haijatunga mimba. But basically, there was either no opportunity or the couples were not prepared.
Opportunity ni vitu kama ovulation, pH of the sperm fluid, uboara wa sperms cells either speed na ability to penetrate, magonjwa, kama ya kike au jogoo kutopanda mtungi etc... This means they were not ready.
Hakuna miracles, its just failure to explain..
Umeona ligi hiyo kunaHizo mada zina thread zake huku utaharibu tu
Means there was no opportunity otherwise ungechota maji. You were prepared, but there was no opportunity, so "No luck"Sasa umejiandaa na mabegi ya ngozi, na vifaa vya kuchimba kisima, halafu unakuta kila unapoenda hakuna maji.
Hapo kujiandaa kwako kunakuleteaje bahati?
Halafu anakuja mchizi kapoteapotea tu jangwani hana hata kikombe, anakutana na bonge la oasis.
Huyo kajiandaa nini mpaka kupata bahati hiyo?
Sawa ila hakiwezi acha tumika juu ya uchakavu.Kuna kitu kinaitwa wear and tear mkuu...uchakavu lazima uwepo si kinatumika
Sichanganyi.Mkuu,
Bahati si miracle.
Bahati ni luck.
Miracle ni muujiza.
Unachanganya vitu viwili tofauti.
Kwa hiyo mtu ambaye hajafanya preparation yoyote, kakuta opportunity tu imemtembelea, hiyo ni luck au si luck?Means there was no opportunity otherwise ungechota maji. You were prepared, but there was no opportunity, so "No luck"
Anayetangatanga was prepared to harvest water and opportunity presentend itself. So, he was "Lucky" Otherwise kama haukuwa prepared, hayo maji huwezi kuyavuna na kunywa au kuchota.
Again, Luck = Opportunity + Preparedness.