Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

Hamna kitu kama hicho na ndiyo tatizo kubwa la jamii zetu.
1. Huwezi kutoboa kizali
2. Umekoswakoswa na ajali maana yake nini? Maana yake hakuna ajali, that's it! Hamna cha almanusra au eti kagonga besela basi mnamuona staa.
3. Kuokota hela ni opportunity imekuja and somehow you were prepared and seized it.
Hizo ni elements muhimu maishani.
 
Naandika kwa ku freestyle kinachokuja kichwani ndo mana umeona hvo wala si take my time to come back with counter attack lengo uelewe!

Haya twende paragraph ingne mana unahama mada, umekiri mwenyewe kwamba mtu unahitaji bahati kutoboa au nakosea?

Ndo nika point out unasemaje unahitaji bahati wakati huwez kuilezea scientifically? Again probability sio luck we mzee.

Randomness is probability ukitaka involve wataalam wa lugha.
 
Naelewa hayo yote.

Lakini pia, ukijiandaa na tanki la maji kubwa sana kuvuna maji ya mvua katikati ya jangwa la Sahara, sehemu ambayo mvua hainyeshi, kujiandaa kwako kote huko hakutasababisha mvua ianze kunyesha ghafla kwa sababu wewe umejiandaa vizuri kuvuna maji ya mvua tu.
 
Kuna watu wanaoana leo baada ya wiki mwanamke kapata mimba wengine baada ya miaka miwili unahisi wa pili hawaja prepare na no oppertunity kwao?

Mkuu kama huwezi kukiri hujawahi kupata unexpexted favour yoyote maishani mwako i got nothing else to say, kwanza we kuzaliwa tu ni zali kubwa sana!
 
Huko siyo kujiandaa.
Kujiandaa jangwani ni kuchimba kisima baada ya kutembea na kukuta oasis.
Au kuchota maji kwenye mabegi ya ngozi na kuyatumia kwa uangalifu.
Expecting rain in desert shows how unprepared someone is in tackling his/her problems.
 
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Unadanga ili ufungue biashara hiyo elimu ya biashara na ujasiriamali hauna unatarajia unatoboaje kwa hiyo biashara??
Yani pesa uipate kwa kudangia hata menejimenti ya pesa huna na hujawahi ufungue biashara kupuru biashara ikue!!??
Niite nyau nimekaa paleee!
 
Labda nikuulize, Bahati ina uhusiano gani na Divine power?

Huu uhusiano wa bahati na Divine power umeutoa wapi?

Na una thibitisha vipi uhusiano wa bahati na Divine power upo?
Swali zuri, hapo nime relate kama jisi usivoweza kuelezea bahati ndo huwezi kuelezea complexity ya Divine Power kwa maswali yenu kua Mungu huyo yuko wapi nionyeshe.

Ndo na me nasema nioneshe bahati iko wapi na nifanyie calculation ya bahati ntakazopata hadi nakufa now nijijue kabisa.
 
Kama hujapata mtoto maana yake hakukuwa na opportunity ya kupata mtoto au wewe na partner wako hamkuwa tayari. Kwa sababu ukisema bahati umamaamisha nini?
Hakuna haja ya kuelezea Mambo kwa kutumia majini sijui au whatever hata kama haya make sense.
 

Unasema randomness is probability.

Probability inaweza kuwa calculated kimahesabu. Pure randomness haiwezi kuwa calculated kimahesabu haifuati any order.

Mpaka hapo ushaboogie step.
 
nilkua ndo nafika kwa mubaba wangu aliniahid kunpa hela ya kodi,, asante kwa uzi mkuu npo narudi geto kesho niende kibaruani uko site za ujenzi
 
Kuna uchakavu kadiri kinavotumika ( If It was an asset) tungesema Depreciation.
Hata mke unamtumia kila siku anazaa watoto mpaka 6 ila bado kitu ukiwega wazungu wanakuja mbio ko hii aina ya bidhaa bado inakamata namba 1 kwenye soko kwa kuwa na kiwango cha 100%ya faida
 
Dhana ya Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote kuwapo inapingana na dhana ya bahati/ randomness kuwapo.

Maana, bahati inaweza kumzawadia mtu muovu asiyestahili na kumnyima mtu mwema anayestahili, kinyume na haki.

Hivyo, kuwepo kwa randomness, bahati, ninushahidi kwamba Mungu huyo hayupo.
 
So, the dont work for money and dont save money is an Oxymoron?
 
Unasema randomness is probability.

Probability inaweza kuwa calculated kimahesabu. Pure randomness haiwezi kuwa calculated kimahesabu haifuati any order.

Mpaka hapo ushaboogie step.
To close this dialogue, kama huwezi elezea pure randomness na umekiri binadamu anahitaji bahati kule juu.. tafadhali usije kuuliza mtu humu tena eti Mungu yuko wapi nionesheni, Adios.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…