Ukweli Mchungu: Kanda ya Kaskazini Magharibi ina wakazi zaidi ya million 150

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
1,956
Wadau.

Hizi ni takwimu za karibuni kabisa kuhusu Ukanda wa Kaskazini Magharibi Mwa Tanzania.

- Una jumla ya wakazi zaidi ya million 150
- Unajitosheleza kwa aina zote za rasilimali.
- Unazungukwa na Nchi Nne


Nawasilisha.
 
Wadau.

Hizi ni takwimu za karibuni kabisa kuhusu Ukanda wa Kaskazini Magharibi.

*Una Jumla ya Wakazi Zaidi Ya Million 150*
* Unajitosheleza kwa aina zote za Rasilimali.*

Nawasilisha.
Wewe utakuwa mmoja kati ya wasu-**** wanaofikiri wapo 150 milioni. Kwahiyo Tanzania nzima tutakuwa wangapi, labda millioni 800.
 
Hii Ni Aibu Nyingine Kabisa
Yaani Ukishiba Unatoa Takwimu Humu
Punguza Kiherehere Tuisaidie Nchi
Usiropoke Tu, Umekula Maharage Ya Wapi!
 
Mods Invisible na wengineo sijui uzi kama huu una maudhui gan hadi unaachwa uendelee kuwepo jukwaani??
Uzi haueleweki
Kaskazini magharibi mwa Afrika? Ulaya? Asia? Kigonsera? Pugu Mnadani?
 
Wadau.

Hizi ni takwimu za karibuni kabisa kuhusu Ukanda wa Kaskazini Magharibi Mwa Tanzania.

- Una jumla ya wakazi zaidi ya million 150
- Unajitosheleza kwa aina zote za rasilimali.
- Unazungukwa na Nchi Nne


Nawasilisha.
Umesoma shule hata kidogo wewe!?...au unachunga tu ng'ombe mwanza huko maana ukiwa unashinda sana na ng'ombe akili zina kuwa kama za ng'ombe!
 
Back
Top Bottom