Sijui walipo ila kesi Yao unakumbuka iliishaje?Comu na lijua kali wako wapi sasa
iliisha kwa kutimuliwa kwenye chama wakabaki kama wabunge wa mataga na leo historia na majina yao yamezikwa rasmi hadi wewe mwenyewe hujui walipo sasa hivi.Sijui walipo ila kesi Yao unakumbuka iliishaje?
Kuna kipi kipya sasa happy mbona kila kitu kinajulikana . Mbinu za kishamba za Jiwe na genge lake .Sisi sote ni mashahidi sakata la Akina komu, Mwambe, lijua likali,n.k
Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina mdee...
Chadema ina wenyewe,kama unavyosikia ACT-WAZALENDO nayo ina wenyewe.CHADEMA haina viongozi makini bali inaendeshwa na losers na negative minds waliojazana mitandaoni!
Si ajabu wakatoa uamuzi wa kuwafukuza akina Halima Mdee. Acha wakate mti walioukalia!
Sasa wakifukuzwa uanachama watakuwa wabunge wa chama gani ?Sisi sote ni mashahidi sakata la Akina komu, Mwambe, lijua likali,n.k
Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina mdee,
Lakini Baadae "hao" waliowateua wakapeleka "zuio" huko mahakamani na
"Monita" akasimama hadharani kuwa atawalinda kwa nguvu zote na anawatambua kama wabunge...
Mnadhani na kamati kuu yenu mtafanya Nini?
Believe me mpaka mtu anatolewa jela na kwenda kuapa,
Hii mbugi ishakuwa calculated!
Chadema mmepoteza game,
Halafu huwezi jua mdee 'iron' lady pamoja na wenzake wameahidiwa Nini!
Maana kutoka kuvunjwa mkono plus kuibiwa Kura halafu ghafla tu watu wanaibukia mjengoni huwezi jua,
Labda tusubiri sapraizi nyingine?
Hakuna cha kupoteza bado wanawakebwako tena wengi tuu hata zito na slaa walipotolewa mlisema hivyo hivyo leo hii iko fresh tuu.Sisi sote ni mashahidi sakata la Akina komu, Mwambe, lijua likali,n.k
Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina mdee...
Thread sio michosho hapa chadema ndio michosho hivi chama hakina wachunguzi wake mpaka inafikua wanachama 19 wanajikusanya na kufika dodoma bila uongozi kuwa na taarifa hiki chama bure kabisaThreads zingine ni michosho tupu, hao covid 19 hata wakiwa wabunge wa mahakama kwa chadema sio tatizo, shida ya chadema ni kuonyesha supporters wake kuwa haihusiki na haijabariki uhuni huu full stop!
Wachukueni nyie positive minds wafanyabiashara wa binadamu.CHADEMA haina viongozi makini bali inaendeshwa na losers na negative minds waliojazana mitandaoni!
Si ajabu wakatoa uamuzi wa kuwafukuza akina Halima Mdee. Acha wakate mti walioukalia!
Atakaepeleka zuio mahakamani maybe ni speaker!Wakipeleka zuio la kufukuzwa uanachama mahakamani watakua wamejifukuzisha uanachama wenyewe kwa sababu katiba ya chama katika Ibara zake ambazo zinaweza kumfukuzisha uanachama ni pamoja na kukipeleka chama mahakamani kwa ufupi jaribio lolote watalofanya kujitetea wasifukuzwe nje ya chama litakua mwisho wao ndani CHADEMA.