Sisi sote ni mashahidi sakata la akina Komu, Mwambe, Lijualikali,n.k
Kesho wanaweza kufukuzwa uanachama akina Mdee lakini baadaye "hao" waliowateua wakapeleka "zuio" huko mahakamani na
"Monita" akasimama hadharani kuwa atawalinda kwa nguvu zote na anawatambua kama wabunge.
Mnadhani na kamati kuu yenu mtafanya nini?
Believe me mpaka mtu anatolewa jela na kwenda kuapa, hii mbugi ishakuwa calculated!
CHADEMA mmepoteza game, halafu huwezi jua Mdee 'iron' lady pamoja na wenzake wameahidiwa nini!
Maana kutoka kuvunjwa mkono plus kuibiwa kura halafu ghafla tu watu wanaibukia mjengoni huwezi jua.
Labda tusubiri sapraizi nyingine?
Kwa wale mlionikosoa Jana naona Sasa mmeona alichosema "monita"

Spika Ndugai: Nitawalinda wabunge wa Viti Maalumu CHADEMA kwa nguvu zote, Mnyika akajifunze kwa Dkt. Bashiru kazi za Katibu Mkuu
Spika Ndugai amesema kanuni za bunge zinamtaka kuwalinda wabunge walio wachache na maslahi yao naye atafanya hivyo kwa nguvu zake zote. Ndugai amesema wabunge 19 wa CHADEMA wameteuliwa kihalali na kama CHADEMA wana matatizo nao walipaswa kuwaita kwa heshima na kuwasikiliza badala ya kuwahukumu...
www.jamiiforums.com