Ukweli huwa ni mchungu sana lakini huwa ni dawa nzuri sana maishani.
Kitendo cha Ikulu kuingilia uhuru wa mahakama ili tu kumvua Lema ubunge wake kimeigharimu sana Serikali, mahakama na chama changu cha mapinduzi.
Leo hii Lema anaonekana ni Shujaa huku baadhi ya majaji, Kikwete na CCM wanadharaulika na kutukanwa na wananchi wengi.
Kwa hili sasa CCM tujifunze......