T2015CCM
JF-Expert Member
- Sep 13, 2012
- 7,930
- 991
Jiji la Arusha limeshazinduliwa kwa hiyo lema hana madhara tena.
LEMA ameshajifunza ustaarabu alipokuwa bench kwa hiyo atafanya siasa za kistaarabu sasa.
Wananchi wa arusha wameona madhara ya siasa za vurugu kwa hiyo hawatapenda kuona tena siasa hizo ziendelee.
Lema amepoteza mvuto kama zamani kwa hiyo hana madhara tena.
SERIKALI IMEONA ITAKUWA GHARAMA KUBWA KUINGIA KWENYE UCHAGUZI MDOGO HIVYO NI BORA KUMRUDISHIA LEMA UBUNGE WAKE ILI KUEPUKA UCHAGUZI HADI MWAKA 2015
My take: HONGERA LEMA KWA USHINDI ULIOUPATA.WANA ARUSHA TUNAHITAJI UONGOZI WAKO ILA KUMBUKA TUNATAKA MAENDELEO